jamani watanzania wenzangu nawaomba sana tuache usimba na uyanga twendeni Zanzibar tukamshangilie Mwarabu😞😞
2025-05-18 22:53:48
54
Emmanuel_23 :
sema hii inakuaga tam sana mnapendana ila mnaishia wigo wa urafk😁😁 ndo ile jamaa kaoa mwanamke kapeleka zawadi huku analia😁
2025-05-18 13:10:00
79
@little_-_b~ :
Ila hako ka feeling kamenishika for sure inauma 😔😔me mwenyewe imeniuma
2025-05-20 13:28:47
18
Egg🅰️brav🅾️ :
so sad
2025-05-20 15:43:41
5
🥷Yøûñg_-_Vìdøzønè Trìzzy☠️🥷 :
hukunambia kama wewe unanipenda
2025-07-30 08:11:37
1
Rontannah 77 :
😂ilaaa inaumaaa maan apooo anaanza kumzingatia demu wake😫 alf ww anakupotezea mm kuna muda akinipotezea sana huwa naenda kuwavuluga nikiwakuta wanapenzika😂👌..Shida ni wivu maaan alkuw ananifanya nihis kuwa single ni sawaa🤧
2025-05-19 03:59:39
28
passy✨ :
Ifike mahala na wewe upewe tuzo yako Kila siku unasoma comment tena kwa makin lakin hawakuoni🥲 ila usijari nipo na wew🫂🥰
2025-07-26 14:26:47
3
🍇𝙍𝙤𝙨𝙝🍒 𝙜𝙞𝙧𝙡 🧚♀️ :
jmn pole sana🥺🥺
2025-07-30 18:19:25
1
Doris Silayo :
kumbe unampenda na hausemi😅😅😅😅😅😅
2025-07-16 23:09:12
2
YVEE :
nimeona hiyo picha🤣🤣vipi niseme nisiseme
2025-05-18 20:44:44
13
predictor mv :
nyieee ni wapenzi kweli kweli acheni utani
2025-05-18 16:41:40
7
tumaamaaka :
masikini pole dada yangu karudie kapepsi😆 kanaisha gesi