@chaupole49: TBT BELLA9 #viral #jyp #trending

WÏZZÖ🫧
WÏZZÖ🫧
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 May 2025 08:38:27 GMT
330148
17532
239
1331

Music

Download

Comments

abuubakarykisheos
abuubakarykisheos :
wakat ule sikuona msanii wa kumfikia huyu
2025-05-22 11:32:53
40
001kaywan
KAYWISE :
Alienda wapi
2025-05-23 07:29:01
2
victoriamagesa538
victoriamagesa538 :
dah enzi zauhai wangu
2025-05-22 14:33:45
4
kakamwas
mwas🇰🇪🇺🇲 :
masogange died it was painful
2025-05-23 04:01:25
13
abdulrashi704
Rashid :
real TBT😭😭😭😭😭
2025-09-28 04:13:55
1
attu_vogue
attu_vogue :
Watoto wa 2,000 huyo belle9 😂enzi zetu hapo weuh,, sasa hivi tunaitwa mashangazi 🤣
2025-05-24 08:48:56
2
ms.lucy.mzungu
ms lucy mzungu :
Hizi nyimbo tulikuwa tunaangalia kwa jirani 🤣🤣 mpaka uoge ndio uingie ila nilikuwa naimba mwanzo hadi mwisho 🤣🤣
2025-05-23 04:20:08
17
mr_heberth
mr_Heberth :
Sema katíka ngoma zilizotungwa hii nayo ipo wallah 🎤
2025-08-13 20:16:16
1
kinyogoli2975
kinyogoli Kinyogoli :
nyimbo yangu pendwa time yeyote🤭🤭kwa ajili yangu mwenyew tu
2025-05-22 14:26:01
3
arv23111
Arv23 :
My favourite song Masogange kuna ile ya Sajna Mganga na Nadhfa uku ya Alikiba Hadithi
2025-05-22 22:36:44
1
aisha.maziku7
aisha Maziku :
nilikua mdogo sana ila kuna jamaa nilikua nampenda 🥰🥰
2025-05-25 08:29:11
4
shebby___junior
Shebby junior :
Hii ngoma sio 2011, nyuma zaidi
2025-05-23 07:15:42
2
richie_movies5
Richie_Studio :
ivi Kirefu cha iyo TBT Ni nn?
2025-05-22 20:58:33
0
malonga50
Étoile malen 💍❤️ :
Il est en vie ?
2025-05-24 06:48:38
2
centigradz5
It's me again :
Nilipokua nimekufa ngoma ni hizi sahi nimefufuka watu wanaimba utumbo
2025-05-23 04:32:44
0
sheilandugw
sheilandugwa :
duu sikumbuki ilitoka mwaka gani ila naipenda sana yaani adi leo ikipigwa lazima nitabasam
2025-06-09 18:50:13
1
lodricksalamu
Lodrick Salamu :
Légende
2025-05-24 12:26:32
2
olgamwayuma588
Olga Mwayuma :
belle9
2025-05-22 19:42:33
2
user4925173026160
Ricky Kioko :
wakati mziki ulikua mziki
2025-05-26 19:43:58
1
maikoo0781
maikoo0781 :
big umetutenga sana tunaitaji ukali wakoo
2025-05-22 16:59:42
1
neyemmanuel235
ada boy :
kipindi hicho anatoka na r.l.p masogange daah alitisha sana
2025-05-22 19:48:50
2
user7961265171090
user7961265171090 :
Namkubali sana uyooo jamaaa yani kwenye frashi yangu zimetawala ngoma zake
2025-05-24 13:53:33
1
josephyohana849
Joseph yohana :
mwamba uyo
2025-05-23 06:07:59
1
kissobizzo2
kissobizzo5 :
massogange by belle 9 💯
2025-05-22 20:18:42
2
stephen_nyaisa
Stephano_Nyaisa :
My Tbt song i'm here for 30minutes hear this song🔥 always is a good song✨
2025-05-22 18:13:16
1
To see more videos from user @chaupole49, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About