@frankmavura: Mambo kumi (10) ya Kumfanya Mtu Ajutie Kukupoteza katika maisha yake. 👌🏽👌🏽👌🏽 10 Ways to Make Someone Regret Losing You #Relationship #loveyou #tanzaniatiktok🇹🇿 #zanzibartiktok #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #swahilitiktok #mapenzi #foryou #fyp #fypシ゚
Frank Mavura
Region: TZ
Tuesday 20 May 2025 16:29:17 GMT
2749841
106857
4733
12860
Music
Download
Comments
BAADRU__ :
kama una mkubali uyu mwamba frenk gonga like
2025-05-20 17:23:41
2750
Frenando Fernandez sucrey 🗿 :
mtu kma hakupendi hakupendi tu...hizo mbinu zote haziwez kumpunguzia kitu wala kumuongezea... chamsingi ni kukubali tu kuw hakutaki kisha usonge mbele
2025-05-20 20:43:05
482
Mr mkombozi 🔹 :
the key to unlocking your life is hiden in your time
2025-09-09 12:32:11
0
Lancelot :
baada ya hayo yote msisahau kumwomba Mungu
2025-05-21 10:12:35
645
Dollyie🦋 :
Sio X tu ata marafiki wenye chuki na choyo 🔥
2025-05-20 19:55:04
778
innocent girl 🥰 :
je kama mtu bado unampenda utawezaje kumuacha ila umenigusa had machoz yamenitoka broo💔🥹
2025-05-21 17:57:31
36
mamumzava :
Hiki ndo nafanya now 😂😂 kama namuona
2025-05-20 18:49:53
33
Daw Hacker :
Nimefata yote haya lakini ata ajali 🥺🥺
2025-07-16 13:28:32
4
Daud John :
thanks my fellow?
2025-07-05 20:34:32
1
Dada G :
nimesha iseve hii video naona kabisa naenda kumsahau yule nyau
2025-05-20 19:12:44
74
Kemunto-debra23 :
nice one
2025-07-24 09:58:24
1
Mercy🦅🇹🇿 :
Asipojuta je
2025-05-21 10:41:16
21
j :
yule shetani wala hawezi kujutia
2025-08-02 21:28:30
2
caroh :
na kama anaishi karibu na mm
2025-05-21 03:36:49
11
zuu cute 🥰🥰 :
asante kaka
2025-07-23 11:15:50
2
nerian mabiki :
Completely sure🔥
2025-05-21 04:18:03
5
Elibarik20 Mandela :
aaaaa nikweli rafiki🥰🥰🥰🥰🥰😁😁😁😁😁
2025-08-23 23:20:27
1
zuubedaa :
kwelii
2025-05-20 21:38:18
3
Toto Lexah. :
what about if he is a workmate ,,nitapotea aje sasa
2025-05-21 07:55:34
22
damla🧕🌹🌹 :
asa atanionaje wakati umesema potea kabix
2025-06-22 21:20:22
13
Elisha Reyimondi :
nakukubar sana kaka 🙏🙏
2025-07-18 09:14:12
1
kimora unique :
Nimekupenda Bure wewe kaka,🥰
2025-08-21 11:28:59
2
Myra❤️ :
Very truee
2025-05-21 07:04:24
5
Brother Thomas :
no one regrate loosing pple whom they hate
2025-05-22 09:56:34
9
Jessica :
kama hakupendi hakupendi tu sio kupotea mtandaoni tu hata ufe hawezi kuumia 😂
2025-06-04 18:16:28
4
To see more videos from user @frankmavura, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.