@freetaxguidetz: 💥Part 126💥| GHARAMA ZA KUBADILISHA UMILIKI WA GARI~TRA✍🏻 🔘Tunatoa Ushauri mbalimbali kuhusu Uanzishwaji wa Biashara. 🔘Usajiri wa Jina la Biashara, Biashara ya Ubia (Partineship), Kampuni na Tust (Mfuko wa Uaminifu) 🔘Ushauri kuhusu Kodi mbalimbali na Forodha. 🔘Ushauri kuhusu uagiza wa Magari nje ya nchi hasa JAPAN🇯🇵 . . #mwanza #tanzania🇹🇿 #tanzania #tanzania🇹🇿tiktook #tanzania🇹🇿tiktook #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktok #tanzaniasafari #biashara #tanzaniantiktok🇹🇿 #maderevatanzania #tanzaniatiktokers #tanzania🇹🇿tiktook #wananchi #mabasitanzania🇹🇿 #biasharatiktok #tanzania🇹🇿tiktook😅😂😂😂 #tiktokuganda🇺🇬 #magari #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #tanzaniacomedy #tanzaniatiktokers

FREE TAX GUIDE TZ🇹🇿
FREE TAX GUIDE TZ🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 May 2025 17:30:30 GMT
175329
4031
276
2622

Music

Download

Comments

ziwandaa
ziwanda🔥 :
Je Mwenye blue kadi na hana mpango wa kuuza gali je anapaswa kubadili kadi?
2025-05-20 18:50:57
4
joel.mbise
Joel Mbise :
Nimefanya application ya TIN, je, nikitaka kuidownload nafanyaje
2026-03-05 05:05:28
1
eng_prosper
PROSPER MBUBA :
wanasema mhuri wa mwanasheria
2025-08-05 16:58:32
1
jabalkiss
jabalkiss :
Jee kama umeuza na mtu hajabadilisha jina nini ufanye illi abadilishe
2025-06-04 17:45:01
1
gplannerg
gplanner_Tz :
stamp duty fee ndo inatoka kwa lawyer au ?
2025-05-26 17:20:54
1
user3660941859733
zasisa :
je mfumo wa bluecard umebadilika kidunia au ni tz tuu
2025-05-27 17:34:41
1
msomifurniture7
Msomi Quality Furniture tz :
mnapatikan wap boss
2025-06-27 20:55:07
1
chedi764
chedy rayne :
mkuu ss na izi ambazo azijabadilishwa kad ni zakizaman za TZ utawezaje kupata kadi za kisasa mkuu
2025-05-23 16:30:37
1
fuji1957
fuji :
tuandikia tovuti kuingia tra kwa ajili ya mauziano
2025-05-21 23:14:01
1
goodlucknyoni559
Gudexty :
uku songea kubadili jina kwa gali laki tatu
2025-05-31 21:10:14
1
samwelbarnaba94gm
[email protected] :
kaka nataka kubadili jina jakini naambiwa asilimia 10 nisaidie kaka
2025-05-28 14:05:27
1
joyvinc1
Madam Joy 🇹🇿🇺🇸 :
Na je vipi kama umeuza gari na imeitajika receipt why ikatwe VAT na ni gari zimeshatumika mda mrefu? Gari ya million 40 na ikuje vat ya million 7 na why?
2025-05-23 19:58:47
1
justinmwasele
justin mby mwasele :
kaka mimi gari nili nunua mwaka na mkataba wa manunuzi ninao je naweza kibadilisha umiliki
2025-05-31 20:50:20
1
amin.msangi
amin msangi :
👏👏Safi sanaa kwa kutoa elimu kwa wananchi
2025-05-23 09:24:51
1
edsonelias442
Edson :
Mm niljnunua pikipiki na haijabadilishwa umiliki nifanyaje
2025-06-04 19:13:18
1
faita982
Mrs jey khan :
Je unaweza kunisaidia kwa hili?
2025-07-06 06:32:12
0
mu_motors_plot2023
@mu_motors_plots_sgd :
Je, ikiwa mtu amenunua gari kwa njia ya mnada wa hadhara kwa amri ya Mahakama kupitia dalali wa Mahakama anatakiwa afanyeje kubadilisha umiliki?
2025-05-26 16:20:07
1
d.sammy66
RAIS WA MAISHA YANGU :
dah hii kazi kweli kwa hiyo nikipata gari la bei poa TRA wao wataamua bei ya kuuziwa ili wao wapate kodi yao?kazi ipo
2025-05-29 08:47:15
1
gplannerg
gplanner_Tz :
Je transfer fee na card fee unalipia wapi au baadaa ya kufnya application ndo unafnya malipo
2025-05-26 17:27:45
1
costz_himself
Sajo :
Habari mkuu nauliza ni lazima ku attach tax clearance kwenye mfumo pale unapobadili umiliki.
2025-05-21 10:59:40
1
bmk8605
BMK :
je kadi zilizopo nazo zinabadilishwa ?
2025-05-21 12:12:20
1
thebosslady988
thebosslady988 :
Naomba nielezee letra ni kitu gani kwa pikipiki inakuaje..pikipiki yangu imakamtwa juzi na sina elimu kuhusu hili
2025-05-25 08:00:42
2
iddidaudi
iddidaudi :
video kama hivi, ruhusu watu kuhifadhi, ili wapate marejeo ya elimu hii...
2025-06-02 08:36:17
1
joachimlaiser
joachimlaiser :
mm nataka kununua trekta kutoka kwa mtu kutoka kenya ,namba za usajili ni za kenya , utaratibu ni upi na gharama nikiasi gani
2025-05-23 16:50:28
2
blackpearl_199
black pearl :
ikiwa gari nimenunua na iliuzwa kwa mara ya kwanza jwa mtu mwingine na hawakubadilisha majina na mnunuzi wa kwanza ameshafariki hii ikoje?
2025-05-29 15:27:14
1
To see more videos from user @freetaxguidetz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About