eeh me sijafikia huko jmn
atangulie tuu tutakutana hukohukoo🤣
2025-05-21 11:16:12
1325
shoshy :
nimegundua Furaha yangu ni mahusiano yawatu yaliyochangamkaa😂
2025-05-21 13:15:15
1111
user6578336556901 :
nandy alilia sana kifo cha luge thus hataki kulia tena kwa billnass
2025-05-21 09:33:27
571
Gatwiri Kangata :
mabibi wakikuyu wanashindwa kama nandy ana wazimu😂😂
2025-05-21 14:41:44
171
Ester Anthony :
shalom wazurulaji wa tiktok 😂
2025-05-21 19:07:57
226
NEYCLEMENT :
ukipata nafasi ya kumpenda mtu we mpende tu no way
2025-05-21 09:15:57
216
ms_mgy :
Nandy real love this man☺️
2025-05-21 11:28:28
322
🎀Essy lolo🎀 :
aisee nandy kapenda vibaya
2025-05-21 08:30:33
236
G💫 :
who is here j5 jion😥
2025-05-21 14:24:03
65
🇹🇿JOFREY JULIUSI👑🇹🇿 :
nimependa namna unacheka taratibu peke yako ...naomba nikuambie kitu kimoja tafuta mpenzi mpumbavu wewe🤣
2025-05-21 19:01:42
125
Forever grateful 🙏 :
nandy vikao mama vikaoooo😭hupokei hata cm zetu
2025-05-21 19:35:33
25
Queen ladies point :
hii clip itatrend sana siku Nandy akifa afu wataandika maneno yake ya mwisho kabla ya kifo chake😂
2025-05-21 12:57:42
80
Fatmah🥰😘 :
mmmh kwa mm hapana atangulie2 tutakutana mbongun🤣🤣🤣
2025-05-21 11:51:27
6
joyceapelele :
au mimi sina moyo 🤣🤣🤣 kwani mtu kupenda hivi anakua anatumia nini? moyo,akili,hisia 🤣
2025-05-21 11:29:45
33
zalhat :
wallahi hio ndoduaa nayoiomba kama nikutangulia nianze mie
2025-05-21 14:33:38
6
it's 🖤 wěñďø :
huyu atalia hadi atoe bubbles kwa mapua 😂
2025-05-21 10:10:09
41
GLADNESS SHOE POINT :
ANATAKA ALALUDIANE NA RUGE KABLA BILNAS HAJAMKUTA UKO🤣
2025-05-22 11:09:06
6
lilianvedastuss :
Ukweli nikwamba nand anampenda Nenga kutoka moyoni yaani ukickia kufa huoza ndio hii😭😭alafu Nenga Sasa wala yeye anampenda kawaida tuu mkewe bas ila mapenzi hapana🙈🙌🙌
2025-05-21 13:18:16
5
JoJo☺️ :
Anataka akakutane na Ruge waendeleze penz lao😂 nenga akija game overrrr😁
2025-05-21 14:17:06
7
𝑀𝐸𝑆𝑆𝐼𝐴𝐻 𝑆𝑇𝑂𝑅𝐸 2026 :
HEEEEE KABLA YA KUJIBU ULIMUWAZIA MWANAOOOO LKN ????
2025-05-21 15:54:36
10
@elvisianthadeo1 :
wanawake wanapenda kweli japo wana madhaifu yao.Nandy my sister uko real and i appreciate.Don't leave bilnass ana kupenda kweli
2025-05-21 22:56:35
14
Being_zaynab💫 :
Mungu wangu 🥺🥺🥺🥺true love 🥺🥺
2025-05-21 11:22:41
6
MR MARKO :
Mungu atajibu maombi yako
2026-07-07 21:09:31
1
Peacequen :
Niepushe na penzi la kunifikisha hii hatua uwwii 🙆♀️🙆♀️
2025-05-24 20:11:21
1
ẞright😊 :
kboko nirudi mtoni sasa 😅
2025-05-22 19:25:24
2
To see more videos from user @iroc.tv, please go to the Tikwm
homepage.