@mwinyiamiraboubak: Je Manabui Wote Ni Waislamu? -Sheikh Shafii Shomari #news #mwamba #darsa #news #love #africanleaders #news #darsalam #darsa #live #halawa #arewa #mwamba #quranreading #korekore #filme #loveyou #kitui #jarida

Abuubakari1
Abuubakari1
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 May 2025 10:23:10 GMT
174592
8797
627
717

Music

Download

Comments

wiz.jay8
wiz jay :
si kwa ubaya bal nataka kujua,mfano story ya musa kwa quran iliandikwa na nan kwa quran maana musa alikuw na torat na cjajua quran iliandikw nanan?
2025-05-25 17:03:37
1
azizi.bakary
Azizi Bakary :
uislamu ndo asili ya uumbwaji watu na majini,
2025-05-21 10:53:08
18
samwel.james2
Dady Nono🙏🔥 :
Uyu shekhe mungu akuulumie wapi kwenye biblia inasema manabii wote niwaisilam
2025-06-14 09:36:46
0
lif3path9
Iron :
hivi mmewahi kuona Mungu ANAMSALIA MTU 😂😂😂 kasomeni Quran 33: 43 33: 56 na 2:157
2025-05-26 09:22:32
0
user2695483584963
zuhula saidi :
yani wewe shekhe shafi natamani mungu akupe umli.mlefu sana kama miaka mia na 80 kwaizini ya allha uifikishe ishallah
2025-05-22 17:17:55
9
elinisafimndeme
Ozan Goren :
Hakuna uislamu nje ya quran ya muhammad
2025-05-22 08:53:55
7
bulbul11719
bul bul :
Napenda sheik anavyokua yuko serious na kazi yake 👊👊💪
2025-05-21 11:31:49
6
kithykombe
KITHY KOMBE Official 🇰🇪 :
Uislamu ulianzishwa juzi na Mohamed
2025-05-24 16:44:08
0
user3542812795145
RamaBize :
Dini ya kweli ni Uislam
2025-06-02 19:47:57
6
lif3path9
Iron :
SASA UYO ANAJIULZA NA KUJIJBU NA QURAN WAKAT AO MANABII ALIOWATAJA WALKUJA NA VITABU SI ATUONYESHE zaburi, torah na injil ikiongelea uislam au Allah
2025-05-26 08:54:57
1
user7779932349928
Cornélio Virgílio Jalua :
Quran ni ya Mohammed sasa wakina Musa , Nuh, Ibrahim wanaingiaje umo? nyinyi achen kujikweka
2025-08-14 17:54:33
1
davidalimasi285
davidalimasi :
sasa uislam siumeanzishwa juzi tu sasa nuhu na abraham uwo wislam wameutowa wapi
2025-07-11 18:23:05
0
ludovick.harson
Ludovick harson :
kama kuna muislam anae jiamini na dini yake aje nimuulize
2025-05-24 20:26:37
0
lif3path9
Iron :
Mohammad Alkuwa mtu tu kma nyie sheikh sio nabii kma nabii wa mwsho Yesu Akirud Anakuwaje mohammad wa mwsho 😆😆😆 mnajiumbua wenyew
2025-05-23 21:04:06
1
fredrick..gitonga1
fredrick..gitonga1 :
je kabla ya Muhammad kupewa utume alikuwa wa dini gani
2025-05-22 21:23:39
2
mr.monstertz
Mr.Monstertz :
sasa kama wote ni waisilamu mbona Quran 2 inasema wakristo nao walikua na mitume yao au hiyo Quran kandika mama yake mazinge
2025-05-23 10:44:02
4
mr.monstertz
Mr.Monstertz :
manfata mkumbo wala hamsimi kasome Quran 2: 62 Kama ukristo sio dini na hauja kuwepo ulitajwa ukristo kama nini nenda kasome
2025-05-24 07:03:48
1
lif3path9
Iron :
vichekesho hivi YANI MTU ANAJIBU MITUME ILIOPITA KWA KUTUMIA KTABU CHA MWSHO QURAN badala ya vitabu vlvyotangulia kutaja uislam 😂😂😂
2025-06-07 16:58:07
0
makutano004
The return Of our Tanganyika :
tatizo mungu wa mhamad siye Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa yakobo bali mungu wa mhamad yaani allah uhalisia wake umetokana na masam mengi yaliyokuwa kwenye alkaaba kufanywa kuwa mungu mmoja
2025-05-23 09:58:36
3
user6354685282962
user6354685282962 :
huwezi kutoa ushahidi kwenye quraani pekee bila ushahidi wa viabu vingine
2025-05-27 12:02:08
1
user8144814396000
joseph :
kwan jaman uislamu c ulianzshw baada ya kuja Muhammad? na mnasema ndo ktabu cha mwsho kushushwa,,,vp mnasema manabii wote wameleta uislamu?....vp nae Daud kaleta uislamu au zaburi?
2025-05-26 13:01:29
0
mr.monstertz
Mr.Monstertz :
swali kwa mujibu wa Quran 2:62 Ukristo unatajwa ulikuwepo sass tumsikilize nani kua ukristo ulikua haupo
2025-05-24 07:02:54
0
user2594001140717
Bitesha kibamba :
uislam ndio dini dini nyingine zinayumba mpaka leo awajijui wako wapi
2025-06-11 15:43:00
3
user4166287059682
joshua :
mtume aliichapa ya mtoto wa miaka 6 kuna utume gani apo
2025-08-17 21:48:18
0
hamisi.chakachaka
hamisi chakachaka :
Kuna mtume qani amezikwa kaburi lake lina msalaba, wakristo wana shida sana kz yao kubisha tu
2025-07-09 17:26:28
1
To see more videos from user @mwinyiamiraboubak, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About