nakumbuka nililia mpka nikapiga got kitu ambacho sijawah mfanyia mwanaume mwingine Zaid ukweli nilimpenda Sana lakin mwanaume kagoma kakataaa mpka Sasa sms zangu anaziangalia tu mara ananijibu jitahid kunisahau ila siku atakayopotea moyon Moja Kwa Moja asije akajichanganya kumamake zake UPENDO unabadilika taratibu unaenda kuwa kuchi na naomba Sana nimchukie Ili nafs yangu ipoe🙏🙏🥹🥹🥹
2025-07-21 21:39:36
5
ninja :
Ni kweli kabisa kaka unajua sana
2025-06-14 21:53:12
6
user2103224496346 :
kweli
2025-06-15 19:38:43
6
ebeneza :
kweli
2025-06-16 01:26:03
9
Cherry pound 🍒 :
Mmenipa ujasiri kuwa sio lakwangu pekeangu acha nifute nambazake yaishe😭
2025-08-05 18:55:39
1
Elizabeth ndunguru :
ushawai kuumizw yn unaongea mamb ambay yanaumiz sn broo yn duu atar
2025-06-15 20:40:46
4
bby gal :
true
2025-08-19 06:56:11
1
Final touch💃🫸 :
Dah nilmfanyiaga hvyo x wangu sasa kwel nakumbuka 😭 na namkumbuka namic usumbufu wake😔
2025-06-27 18:16:26
3
kong'olo@ :
nakubali sanaaa
2025-06-23 15:35:52
3
@@@@@@@@@ :
duu😭😭
2025-07-17 13:40:12
1
Faima Matma :
umenikumbsha mbli cna aisee
2025-06-19 11:34:58
2
daisymaria561 :
kweli
2025-07-25 20:46:29
1
wity 🥰💞 :
kweli hata mm naaamini atakumbuka tuu
2025-08-18 10:49:10
1
de titlee :
md huo nshakusahau 🤣🤣🤣
2025-07-08 08:00:51
1
Stecy Otieno :
walai ni kweli
2025-06-14 17:19:13
7
Hamza Major :
kaka mungu akupe maisha marefu sanaaaaa
2025-07-17 17:55:48
1
Rehema :
nikwer huwa wanakumbuka ira ware ambao tunapendaga had unasema iv bira huyu nitaishi kweri haraf anakuja kukupiga tukio hiro unariya had unakuwa huerewi ufanyeje ira ukija kuta machozi hayo yariyo kutoka kaka moyo unakuwa unakutu hiyo heee haierezek ira mapenza 🥰
2025-07-26 21:27:05
1
Paulo.tz :
utakuta hilo jina lishafichwa ataangalieje
2025-07-08 21:35:07
1
nanny :
nakupenda bure
2025-06-11 21:57:55
3
LASTBORN(mtoto wa mama)🫶❤️ :
aki😭
2025-06-11 22:12:41
3
kababykaloved :
very true 😢
2025-06-20 13:34:38
2
To see more videos from user @mwingitik1, please go to the Tikwm
homepage.