Kama hutaki matangazo na browser ambayo iko faster ni Brave pekee
2025-05-23 13:08:09
16
hayqees skiller j :
naomba unisaidie cmuangu sehem ya TikTok challenge za watu hazionyeshi sehem ya nyimbo ambapo ukipagusa unaweza kufanya hiyo challenge inaonyesha jina
2025-05-22 16:51:22
5
muhamadi shafii :
Muongo huyuu
2025-05-22 02:56:51
9
Mkali Chech :
sipendi haya matangazo yanayo tokea wakati na download kitu au kama nacheki video nifanye nini kuyazuia
2025-05-23 17:25:13
5
six fingers :
ukiwasha hizo setting utaletew matangazo mapak unyooke 😂 ukitak ku download kitu mpaka kifikie hatua ya ku download utakua ushatukan matusi yotee 😂😂😂
2025-05-23 06:19:11
40
Nassoro :
jinsi ya kuondoa ads kk nifundishe
2025-05-26 19:59:12
5
Shafii Haruna :
shukran sana ndugu Yangu nime fanikiwaa🙏🙏🥰
2025-07-24 20:54:14
4
yusra fadhili :
kweli ama wanidanganya
2025-05-22 15:15:43
2
sio :
kama mlinisurika privacy zenu endeleeni kusikilzia watu kwani mmesahau😁 ...mfano mdgo tu mshakji anakupa maufundi ya kufanya net iwe faster sio!? istoshe anakwambia google
2025-05-30 15:56:44
0
mamateetheboss :
halotel waamie uganda manina
2025-05-27 04:01:46
2
Rajabu kiwope :
kaka mm mb zangu zina isha kwa araka sana nisaidie
2025-07-23 05:50:31
3
joe fetra :
vip n'a pixels
2025-06-22 21:52:22
2
To see more videos from user @techs.land, please go to the Tikwm
homepage.