@insideoutz__: DIAMOND PLATNUMZ ANANILIPA VIZURI KULIKO WASANII WOTE HAPA BONGO Producer @s2kizzy aka Zombie amefanya interview na @soudybrown amesema yeye ndie Producer mwenye mafanikio kuliko Producers wote wa Tanzania. Akaulizwa ina maana ana mafanikio kuliko hata MAJANI akajibu P Funk ni legend ila kwa kikazi hiki yeye ndie mwenye mafanikio zaidi kuliko wote. S2kizzy anasema yeye japo kuwa ana muda mchache kwenye game na amewatoa Producers wengi wanaofanya vizuri sasa hivi . Ukifuatilia vizuri historia ya muziki wa Tanzania P Funk amefanikisha kumleta Producer Lamar Master Jay amefanikisha kumleta Producer Marco Chali na Marco Chali kamleta Daxo Chali Manecke amefanikisha kumleta Bob Manecke just to mention few Generation ya sasa hivi unaweza kumuweka S2kizzy kundi moja na wakina Ayo Laizer , Kimambo , Ringtone ,Mocco Genius , Luffa !? Vipi kuhusu wakina Nahreel , Emma The Boy , Marco Chali na Manecke au wao ni generation tofauti!? Hudhani kuna haja ya sisi kutunza kumbukumbu ya kazi za watu muhimu kwa vizazi vijavyo!? #bongoflava #s2kizzy #diamondplatnumz #soudybrown #insideoutz

INSIDEOUT TANZANIA
INSIDEOUT TANZANIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 May 2025 08:36:34 GMT
47086
2311
17
10

Music

Download

Comments

bosslady2555
Boss Lady :
Ndio 100%
2025-06-21 08:28:42
5
prama195
MiDo :
100%
2025-06-23 17:11:23
2
innocentking1980
innocent king 👑 :
sasa mbona mnakataa 😂😂😂
2025-06-22 07:42:01
2
mrtan3810
@Mr_idon't_care18 :
sas usifananishe wazungu na sisi waswahili kwasababu hata nnchi zao ndo zinaleta utofauti mzee baba
2025-05-22 18:45:20
1
havan8303
havan291 :
Kajifunze kwa majani urudi uongee Tena🤔
2025-09-11 16:40:17
1
sam94212
samstaNyota :
sh2kizi ni mnoma🔥🔥🔥
2025-08-19 00:03:25
1
msuya7
DadsSonDoittoo :
🔥🔥🔥🔥🔥
2025-07-08 02:11:23
1
1243alexis8
ALEXIS 🤜🤛 :
🥰🥰🥰
2025-06-01 20:47:32
1
userbrian254
its karisa👨‍🍳👨‍🍳 :
🥺
2025-06-22 21:31:45
1
bienvenue.didib
bienvenue Didib ✝️☪️🇨🇩🇺🇲 :
❤❤❤
2025-08-15 21:23:33
0
kaabi742
Kaabi Guichet Fermé🇰🇲🇹🇿💶 :
🥰
2025-06-11 16:32:41
0
moedeetz
MOE DEE✅ :
🔥🔥🔥
2025-06-30 04:25:54
0
officialallsah
ALLSAH :
💯💯💯
2025-06-25 21:25:19
0
incredible_naruto_
👑.N̈ÃŘÛŤØ_.💫🤍 :
💪
2025-08-23 02:53:41
0
vanstroy07
VANSTROY YVONNE :
😍
2025-08-31 07:21:08
0
quan_3181
Saint c :
kajamaa sjui kanajionaga ka Nan sju😂
2025-06-19 19:53:29
0
To see more videos from user @insideoutz__, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About