@iroc.tv: Ashanthe Shana 😂 ameongea vizuri sana OUT NOW! Bonyeza link kwenye Bio kuangalia kipindi youtube iRoc Networks 📺 @zizamalick , @azaboi_ & @charles_matukio Cc @iroc.tv @nmbtanzania Sponsored by @johnniewalkerafrica 📍 @irental_s #BeMore #Thejunction#NmbKaribuYako#JohnnieWalkerTZ #Ad #keepwalking#tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #rwandatiktok🇷🇼🇷🇼

iRoc Network
iRoc Network
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 May 2025 12:05:42 GMT
258892
19590
190
1793

Music

Download

Comments

humblemasuti
Humble Masuti :
uyu dada mimi nimesoma nae muongo😁
2025-05-22 14:20:39
106
mr_admin255
MrAdmin :
na usisahau pia mnaweza kukutana wote hmna hela..mkazitafta msipate hadi mkaamua kila mtu aende kwanza kwao akajitafakari
2025-05-22 17:22:14
75
dr_mtex
@dr_mtex :
Only matured ones will understand 📌👌😊
2025-05-22 19:58:12
35
mtotowakewemasepetu
Mtoto Wake Wema Sepetu :
mkizipata hela pamoja anakuacha 😅😅😅
2025-05-22 15:28:11
21
harevo04
harina04 :
Huyu ni mm jaman saiz mwenye hela nachukia hata akinipigia🥺…but kuna huyo my poor man am in love with him 🥰😂
2025-05-22 15:56:20
8
suddybeda
Cuvala_75🍁 :
Na mwanaume akiwa tu na pesa huyo sio wako tena
2025-05-23 18:37:06
2
nck231_
Ja Rule :
Na mnaweza msizipate mamaeeee🥶🥶
2025-05-22 16:41:01
1
sarah_7618
Sarah_ :
Mimi hata moyo uwe wapi nataka mwenye hela🥺🥰
2025-05-22 17:47:53
4
ladyvee6964
ladyvee :
huyu dada namjua akil yake hua inabadilika badilika
2025-05-24 08:47:52
1
elizabethjovinar7
E.J :
dad mwanaume skipata hela anakuacha
2025-05-24 05:51:42
2
culavanga
macdimba :
Bismillah nd ilitakiwa kuanza lakin kilichoanza kwa aziza n kuna meng kweny mapnz xn ameanza kw namna hiyo...
2025-06-12 07:42:29
1
kenzleecosmetics
kenzleecosmetics :
Najua hayawahusu 😂Ila natafta mdada wa kazi 😔
2025-07-31 23:57:10
0
twenty.one526
twenty one :
Fact sana👏👏
2025-07-09 17:01:16
0
youscocoolest
Coolest :
Ila uyo mwamba wakati anawamba sio mchezo 🍺
2025-05-24 14:06:46
1
justinewakwanza
justine wakwanza :
uyooo hkuna mjadala n kuweka malii kwa ofisi ( ndani)😅
2025-05-23 19:36:56
1
jamali.malike
Jamali Malike :
sio kweli dada ela ivi unaijuwa ela wewe?
2025-07-13 12:24:46
0
enord11
enord11 :
huyu s mpimbwe 😂😂 Leo Yuko serious
2025-07-16 12:13:53
0
chicago_jaiz
CHICAGO JAIZ✔️ :
huyu sio wa kumuamini kipitiliza😂
2025-05-23 00:10:56
0
lillystore88
Lilly store :
Daaah nataka moyo Kama wako
2025-06-11 15:26:10
0
suby9317
Suby :
Hakika💯📌📌📌
2025-06-05 12:20:00
0
muhaaz26
KIBABAGE 🤏 :
safii sanaa💯
2025-06-13 17:39:31
0
henger_msafy_001
henger_msafy_001 :
mbona huo muitikio wao kama wapo mawindon wanamuinda uyo demu kwa kauli yake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-06-12 03:38:22
0
sports99media
TANZANIA JEZI ☎️ :
JEZI ZIPO KARIBUNI WATEJA WANGU 🛍️
2025-07-06 08:12:06
0
mziwanda3609
smart boy :
Dada Kajua Kutufaliji Tusiokua Na Hela Jamni 😁
2025-07-01 10:59:42
0
thefinest83
the finest band :
apewe ulizi
2025-05-23 13:31:13
0
To see more videos from user @iroc.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About