@eyes.wide.awake: Hii ndio njia iendayo mbinguni #spiritualtok #spiritualtiktok #spiritualitytiktok #Meditation #meditations #guided #meditation #meditationmusic #meditation101 #meditate #TikTokMentor #opinion #manifestationtips #manifestationtechniques #manifest #manifesting #religionpoisonseverything #tanzaniantiktok #Tanzania #kenyantiktok #uganda #talithakumitanzania #Dar #arusha #Mwanza #fyp #viral #bibile #zanzibar #CapCut

Talitha Kumi
Talitha Kumi
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 May 2025 15:02:01 GMT
95744
6883
220
754

Music

Download

Comments

rashidabdulkadr2
ofsa mtoto :
namshuhudia mungu ndani yangu hakika, hakika,hakika, sina hofu tena nimekua mwema kuliko enzi za uislam
2025-05-23 16:08:22
78
jelad_electronics
Augustino Ernest Mhina :
Mithali 4:23 Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. Uzima upo ndani yetu
2025-05-25 04:54:35
40
254bkw
Benaldo de timer :
people of earth it's time now for everyone to understand the universe and turn on a new frequency dimension
2025-05-25 01:53:03
13
janjezcoo
janjezcool :
true my sister. we ought not to fear what we are taught to fear nor finding comfort in what we are traditionally accustomed to.
2025-05-23 23:45:02
6
galfred_41
Godfrey Alfred :
daaaaa hii shule mbona kama inazidi upeo wangu wa uelewa? nahitaji hii shule pls nisaidie
2025-05-23 17:30:41
11
bloodyfriend
Bloody :
hakika elimu yako ni nzuri sana Mungu aliye moyoni mwangu akujalie nguvu na uzima ili wengine wapate elimu hii
2025-05-24 12:57:35
8
ositushan
ositu k :
i love what you do🥰🥰🥰,,, more blessings to you.
2025-05-23 15:14:59
5
lukomo_tz
Lukomo_Tz :
Ongeza speed kidogo ya kuongea wengine kwetu mbali.
2025-05-24 15:47:28
12
aggreymbuganoaggrey
mbuganoaggrey296 :
Dada yangu naomba unisaidie andiko hili. Luka 11 52 Ole wenu, enyi wana-sheria, kwa kuwa mmeuondoa ufunguo wa maarifa; wenyewe hamkuingia, na wale waliokuwa wakiingia mmewazuia. msaada wako
2025-05-28 08:14:26
6
cleophace.robert
Cleophace Robert :
kwanini najalibu kukuelewa lakini Kuna vitu unaniacha
2025-05-25 08:17:37
9
jc.one4
jc one :
leo nataka ni kwambie asante sana kwa kutuambia haya umepoteza muda kwa jili yetu❤️❤️
2025-05-24 10:57:01
10
hassansaleh6996
Hassan Saleh :
Kwa miaka kadhaa hapo nyuma biblia tuliisoma hali ya kukariri kuidadisi huwa dhambi hali ya kuogofya kukufuru. Ninadisi andiko ni njia yaMungu pekee
2025-05-23 18:28:10
6
rohitmellahrohit
Rohitmellah 💫 :
nawasubiri waislam waje kukupinga mana wao wanaijua Biblia kuliko wakristo wenyewe🤣🤣🤣🤣
2025-05-25 03:59:20
5
mkanakamkanaka
Winnerleah :
Asante kwa Darasa... naelewa sasa
2025-05-24 05:59:24
6
user9060290047783
user9060290047783 :
Nilikuwa kwenye geleza la kidini kipenzi umeniokoa mungu hakujalie maisha malefu
2025-05-24 12:28:40
5
maranya_1
maranya :
kipi natakiwa kufanya ili niingie ndani yangu na kuyajua yote hayo?
2025-05-24 06:36:53
15
blackmasiah
Black Masiah :
we dada mi nakupenda bure hili limenifariji kwa kuwa nilianza kuwa mdadisi kitambo mpaka nkagombana na kutengwa na ndugu sasa ww ni ndugu mpy nashukuru umekuwa kioo changu najitizama kupitia ww..asante
2025-05-23 20:06:36
8
whitee4237
Am not you 🔏🎭 :
je utaweza kunijibu hili swali kuna utofàuti gani kati ya mungu unae muongelea na mungu alie andikwa kweny historia ya vitabu vya kidinii
2025-05-24 18:34:39
9
captainafricans
Captain Africa :
yeah tafakali ya kina mwenye macho na aone mwenye masikio na asikie, yale mambo sio mambo tena anaevuma baharini sio papa tena chombo cha maarifa kinachukua nafasi nimekuelewa sanaaa
2025-05-23 18:19:37
6
vuga_vuga1
VUGA :
Vipi kuhusu Zumaridi anapatia? au kama hapatii alipo teleza ni wapi
2025-05-24 11:15:15
5
her123christine
Christine 🤍🖤 :
Namshukuru Mungu kwa maarifa yaliyo ndani yako..
2025-05-24 16:23:20
6
renee43456
Renee👸 :
usikute waafrica ni misukule yawazungu😂
2026-02-15 09:19:48
1
user4951613624996
isaya :
dada mimi nimekuwa na meditation lakini mchungaji wangu na ndugu zangu wanasema eti nina roho ya kichawi ndani yangu ukweli nikwamba niki meditation najisikia amani najihisi mwenye nguvu sana
2026-02-09 11:00:54
3
sarahhalfani5
Sarah Halfani :
ahsante
2026-02-16 04:17:41
1
thegreatanuary
thegreatanuary :
UFUNGUO WA MAARIFA.
2025-05-30 11:06:11
3
To see more videos from user @eyes.wide.awake, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About