@riera113: #creatorsearchinsights #trending #groviral #viral #vital #islamic #for your page

riera113
riera113
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 23 May 2025 17:56:03 GMT
41348
2480
71
1230

Music

Download

Comments

jadmenadhrah4
jadme nadhrah 🇹🇿 🇹🇿 :
mnaniuzi mnavyozifungia video zenye faida na mafundisho uchoyo huu hamtaki wengn wapate kher kwa hilo
2025-05-26 08:21:07
8
user13773408513
cammy :
Tatizo mnazifungia saa nyingine tunapenda kukaa nazo ili zitupe hekima na mafunzo zaidi fungueni basi tuzinyonye hii ndio ingenifaa
2025-05-26 17:26:52
3
aishaabuubakar
Aisha Abuubakar :
Weka tuweze kuchukua status
2025-05-26 10:08:35
2
kingfahad42
King Fahad :
sasa wwe umezifungia Una akili
2025-05-30 20:14:58
2
adulrahman.issa.j
Adulrahman Issa juma :
hakika
2025-05-25 18:32:12
2
mwanaidimsangi815
Mwanaidi Msangi :
maneno mazito shekh😘
2025-05-27 04:51:35
2
mc.tausi.mapesa
Mc Tausi Mapesa :
Hakika Sheikh
2025-05-26 15:37:48
2
allykanduru177
Ally Kanduru :
🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲💞💞💞💞💞
2025-06-10 21:41:57
1
amina.mapiano
Amina mapiano :
ngoja tumsikilize
2025-06-09 13:34:49
1
minnah056
minnah056 :
zifungueni
2025-06-09 08:59:40
1
gulb032
NUUN87 :
fungueni jmn mbna mwatufanyia hivo?? sio sawa
2025-05-29 08:58:12
1
hamidambeguzuberi
hamidambeguzuberi :
sasa hivi hakuna ugwana
2025-06-11 09:00:12
1
rehemadunia456
Rehema Dunia456 :
Hivi kwanini mnafungia video sasa kuna haja gani ya kupost hata huu sio ugwana hakika
2025-06-11 12:35:56
1
queenroses55
roses2 :
👌👌👌✌️✌️✌️
2025-06-08 05:47:18
1
zainabuhamisi56
zainabuhamisi56 :
😭😭😭🤲🤲🤲🤲mungu tusaidiye
2025-06-11 13:16:55
1
mwanshariff
mwanshariff :
fungueni tuchukue jamaniii😪
2025-06-04 05:17:05
1
hamad.hilal.hamad
HAMAD HILAL HAMAD :
mashaallah
2025-06-01 07:09:41
1
user91186913370133
user91186913370130 :
ufungue wat wafaidik
2025-06-17 07:12:56
1
slh1059
slh :
nasikitika sana kuona video zenye faida zinafungiwa lakini video za hovyo zinawachwa huru labda niwaulize kwanini mnafanya ivi?
2025-05-31 21:36:46
1
abdulrasuli.issa
abdulrasul :
ni kweli siyo kwa rangi lakini mishenzi unaiyona tu kabla
2025-06-30 03:22:29
1
salum.phoneaccessories
Salum phone accessories :
kama umeamua kuituma humu tuiskilze na tupate mafundisho na mazingatio bas huna haja kuifungua tusiichukue tufungulie
2025-05-30 10:30:38
1
adadiadinani6
Adnan :
🥰
2025-05-29 18:51:53
1
jadmenadhrah4
jadme nadhrah 🇹🇿 🇹🇿 :
🔥
2025-05-29 09:03:25
1
zuwenasalim8
@zuwenasalim :
swadaqta
2025-05-27 19:27:40
1
user183227983360
user183227983360 :
❤❤❤
2025-05-27 17:15:45
1
To see more videos from user @riera113, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About