You live in this house and you die tomorrow... What the fvc?
2025-05-30 23:38:52
3
BLOVECITYBOY :
Sio ya kakobe iii ni ya mastai wa kimara korogwe
2025-05-31 08:42:45
5
Amocleonards :
kipindi mwaka 2023 kuna shida ya maji Dar nzima nlkua nakaa mtaa wa chini hapo, watu ndani hatuna maji mpka tunawaza kwenda kuchota baharin ila tunakuta jamaa anamwagilia majani kwa machine za kutosha😂😂😂
2025-05-30 05:51:57
23
._it's lixy🫂🦋 :
hiyo nyumba ipo mbezi beach ya chini karibia na sheli rainbow
2025-06-01 11:21:40
5
B L E S S I N G :
hahaha yahs hiyo nyumba anfaa kuishi mtumish wa Mungu Kam kakobe.
2025-09-16 04:56:13
2
Michael Scofield :
alafu kun l mwanamke linashinda kanisan kwake likiomb utajili, k make🤣🤣🤣
2025-08-10 18:55:46
2
777✝️❤️ :
Kwa kakobe hapo mbezi beach acha uwongo
2025-08-10 07:34:06
6
ابو عاطف :
pesa za wapumbavu 🤣🤣🤣
2025-05-31 18:56:43
4
Salma Hemedi :
nlimuuliza mamaangu tulivopita hapo i was like hii ni hoteli ama😂😂
2025-05-28 09:12:37
8
angelselewin :
Hiyo nyumba alijenga kwa ajili ya wageni wake wakitoka nje ya nchi wanafikia hapo...alafu ipo mbezi beach Rainbow sio Masaki
2025-06-02 09:45:09
9
priceless :
Nakumbuka first time kupita hapo nilimuliza shoga angu mansion ya nani hi kali 😅 akaniambia niya kakobe
2025-10-04 11:54:48
1
Self Made :
Sio kwel, nyumba ya Kakobe hiyo
2025-08-07 06:27:14
2
online :
😅mi mwanzoni nilijuaga io ni ofisi flani yani kampuni flani ivi apo nd HQ😅
2025-08-01 09:51:12
1
BestQueen👑✈️ :
Hii ni ya maskai wa korogwe😂😂
2025-08-08 09:56:39
1
Germin_Henry :
ndo jamaa kakosa gesi 🤔
2025-08-11 14:36:37
1
6PACKS @50 :
sadaka zenu hizo za miaka25
2025-08-09 06:54:48
1
Jxnldy😘 :
sa si tuende Tu fanya mass kwake...mbn paZUri kuliko church 😭
2025-06-01 17:43:20
1
lilianichami :
ndo maana sitoagi sadaka ,,
2025-05-31 06:08:16
2
leetrends_tz :
sema bangalooooo
2025-05-31 20:17:06
1
To see more videos from user @sharybrown7, please go to the Tikwm
homepage.