@shukuru_bin_salum: naomba comments zenu juu ya suala hiliii#tiktokmorocco🇲🇦 #tiktokalgeria🇩🇿 #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #tiktoksaudiarabia🇸🇦 #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪

🇹🇿𝐁𝐥𝐚𝐜𝐤_𝐣𝐮𝐝𝐠𝐞🇹🇷
🇹🇿𝐁𝐥𝐚𝐜𝐤_𝐣𝐮𝐝𝐠𝐞🇹🇷
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 May 2025 18:31:03 GMT
164197
12019
224
3532

Music

Download

Comments

terolazima
TERO LAZIMA :
What I am going through with my wife right now
2025-05-25 09:35:15
44
sultanplatnumz
Dr. Sultan :
Niliambiwa Mm Ukiniacha Leo Eda Ikimaliza Naolewa Maneno Kuzidi na kuzidi nkasema Ohoo Chukua Hiyo Mpaka leo Yupo hajaolewa Na Aliemzuzua Cjui kaishia vp🤭🤭
2025-05-26 07:38:03
22
joyceapelele
joyceapelele :
ni kubet tuu unaweza kupata better life kweli....wapo wanaume wema
2025-05-25 12:57:35
22
user5981617814730
user5981617814730 :
I experienced it Sai Ni miaka tano tngu atoke kwenye ndoa waliomdanganya hawajamuoa Sai ataka kurud
2025-05-25 12:52:45
15
user6279422217678
queen rey :
mume wngu hajawahi kunisifu ata siku moja ata siku za mwanz za ndowa hana mda zarau kiburi kama kalazimishwa kuniow
2025-06-02 07:02:16
11
anunes_collection01
anune's collection :
stara tunaitaka tunaipenda ilaaa wanaume wanatukwaza kutoka njee ya ndoa hawamui kutuliaa ktka halali zao
2025-05-25 11:31:28
9
shufaaabdulla
Shufaa Abdulla :
kiukwel nikwamba na baadh ya wanaume wanadhan kua watakunyanyasa maisha na hutopata mwema ,kiukwel kuachwa na kupata sahihi ni Allah pekee anajaalia,ubora ni kuomba kher na sio kubak kuteseka maana kunanmda kushavumilia mpaka umechoka sasa bora tu uondoke mtoaji ni Mungu
2025-05-26 03:34:38
5
ka159620
kamilove ❤️🥀🪷 :
naona sio wanawake wanaumme wao wanajidanganya wakitoka nje watapata wanawake wema laa njee kuna nyoka
2025-05-26 13:37:46
6
oyaajamaaa
Ahmed Swaleh 🌎 :
Yani huyu sheikh unaskiliza huku unaskia moyo unapiga Duh Duh Duh Duh Yani unalinganisha maisha ya ndoa uliyopitia
2025-05-25 19:37:35
19
user2872561119410
user2872561119410 :
ukweli mtupu inaitwa jumping from the frying pan into the fire
2025-05-25 11:44:04
7
user227817037621
.......... :
kila ukisali omba kuridhika.dua inabadilisha kadar hamna kukata tamaa saivi jihadi kuishi kwenye ndoa usishindwe utakosa pepo
2025-05-25 17:07:51
14
moseemosee35
musa :
proud to be a Muslim
2025-05-25 14:38:58
11
nasser.simion
Nasser Simion :
Huenda chanzo ni mdomo wako au tabia,maana ya mwanamume kuoa ni kutaka utulivu,sasa mwanamume anapokosa amani ndio hukimbia nnje
2025-05-26 07:01:55
4
fareed_khamis
fareed-khamis :
fact
2025-05-25 07:08:57
7
tawakal271
tawakal :
kweli kabisa shekhe
2025-05-25 13:29:05
4
ayubu_jrtz
Myahudi Jr Tz :
sheikh maneno matamu sana🔥
2025-05-25 11:33:10
9
asmryar7oky89
Abdi :
Napenda mawaidha ya huyu sheik
2025-05-25 07:32:10
5
amina.ali8234
Amina Ali :
kweli kabisa sheikh
2025-05-25 07:58:12
6
tonny.siundu7
Tonny Siundu :
nkweli kabisa
2025-05-25 15:06:07
4
adammj268
Adam Mj :
kweli kabisa
2025-05-25 16:30:59
4
nyukimweusi0
🦅nyuki mweusi🦅 :
mashallah mashallah mashallah mashallah
2025-05-25 08:42:11
4
sayyid.jr4
️ :
I know exactly what you’re talking about. Mashaallah ujumbe huu ukaelimishe wadada Ila comment zao hapa watabisha na hili pia 😂🤣
2025-07-15 14:04:08
1
husnabegam3
Husna begam3 :
yte ni kwa sababu tuna fikra potofu na kuwa mbali na Allah allah atujaalie subra na kinai yarabby..shukran jazakallahul khir..
2025-07-08 20:02:12
1
vyamos
Mossini Vyamana :
Shukraan saana Sheikh wangu,laiti wangekua wanakuskia
2025-05-25 08:06:26
3
aminisengongo2
aminisengongo :
maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah nimekuelewashee
2025-05-25 07:42:49
4
To see more videos from user @shukuru_bin_salum, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About