Uyo aliyempiga teke mwenzake mbele ya familia yake na yeye mungu amuumbue mbele ya ukoo wake wote
2025-05-27 19:42:33
552
Vivian Honey 🍯 seller :
Mimi ni Simbaa ila huu sio ushabiki ni fujooo mtu yuko na familiia yake na mwanae kwanini mateke😒😒😒😒
2025-05-27 13:16:39
386
joymess :
Ila simba mungu awalaaani kabisa dah 🥹😭😭
2025-06-11 07:18:32
0
Isco :
Vurugu xote ixoo lakin hayaja chukuw kombe mung kayalaani na mijuso yaoo kumamayee🤣🤣🤣🤣🤣
2025-05-27 14:16:53
142
vickyndoss :
aliemsukuma wakwanza wa nyuma aje nimpe k bure 😂😂
2025-05-27 19:40:12
3
B13 :
sasa naye kafata nini
2025-05-28 18:42:53
0
@dalovenes :
ndo maana yalikuwa yanapigana yenyewe kwa wenyewe uwanjani na mkafirwa na warabu
2025-05-27 17:44:15
108
Frank+254 :
This is not fair guys...infront of your family..I feel so bad.
2025-05-28 02:59:00
85
barbilon :
sasa si utani wa yanga na simba sasa ndo mnamkanyaka walio mkanyaga ni makuma hao
2025-05-29 20:20:07
0
olympiasukmsi :
jamani
2025-05-29 19:52:31
1
baba_khairath :
hiii ndo laana iliyo wafanya mpoteze kila kitu haiwezekani mtu alipe hela yake umpagie nguo ya kuvaa na kumpiga mnampiga sasa mlipo mtoa mbn hamkuchukua hicho kikombe laana za familia zenu zinawasumbua tu mnakera kinowma ningua ni mimi hivoo mbn kingeeleweka tu kivyovyote vile hasa kwa uyo aliye mpiga teke la mgongoni. vyombo vya urinzi sijui walikua na kazi gani umo uwanjani
2025-05-27 17:22:45
23
LindaTwalah :
This hurts 💔💔💔, these kids and the wife will never go to the stadium again
2025-05-28 05:26:01
32
Ts_.her :
Simba ni kumanyoko tu
2025-05-27 19:24:07
82
Blue zone :
Uyo alompiga teke alaaniwe tuseme Amee
2025-05-28 06:53:10
30
UNITED REPUBLIC OF TZ.(URT) :
imeniuma sana hususani hao watoto na mke wake unazani walikua wanawaza nini bila shaka huyo jamaa ameamua kuondoka tu ili kutulia mioyo wa familia yak
2025-05-27 19:06:54
56
JUMAH HAMICE 🇹🇿 :
huyu jamaa mnamtetea mnajua kauli alizokuwa anaziongea mpaka atolewe apo au mnadhani watu niwajinga
2025-05-27 17:53:07
4
🤴 MOSH🤴 :
It’s common sense ..why sit in the opponent territory,if it’s not that you’re looking for trouble
2025-05-28 07:21:54
2
@Omar285506 :
Mimi ni Simba but mlichomfanyia huyo shabiki wa yanga si poa tena mbele ya watoto wake kueni huruma hata na hao watoto mafala sana nyinyi
2025-05-27 20:26:19
63
Official MeddyTz🇹🇿 :
a few moments letter
2025-05-27 18:57:32
7
YOUNG BLOOD :
ndio maan me natembeaga na kisu sababu ya usenge Kam huu
2025-05-28 04:57:50
13
oneshade :
kicking fellow human being like that?
2025-05-28 01:48:30
12
Phinah2004 :
very bad🥹🥹🥹, washamb hao😒🤧
2025-05-27 15:58:46
37
edwinluis335 :
daaaaah huuuu so ungwana kumzarisha mtu na family yake kwel so 😭😭😭