@mamamawigi: ZOMBIUS Kutoka Kagera na ZOMBICHEN Kutoka China TUNAKUJA @Cheka Tu `Wakati umefika wa kubadilisha mazingira! Mwezi huu, tarehe 30/05/2025, Cheka Tu inakupeleka Masaki – pale kwenye venue ya kimataifa Warehouse, ndani ya CHEKA TU: BLACK AND WHITE 🖤🤍 EDITION. Yaani kwa kifupi — vichekesho vinaenda kuwa Black and White, na kicheko kinaenda kuwa Black and White! 😄 🎟️ Tiketi: Regular: 25,000/= VIP: 50,000/= VVIP: 100,000/= 📍 Tickets zinapatikana kupitia: Nilipe Application Makujuice – Afrikasana Little More – Mlimani City Lampard Electronics Tukiwa powered na kinywaji chako pendwa — Black & White Whisky 🥃 #BlackAndWhiteEdition #ChekaTuLive #ChekaTuInMasaki #PoweredByBlackAndWhite #mamamawigi
Mama Mawigi
Region: TZ
Tuesday 27 May 2025 15:35:18 GMT
Music
Download
Comments
Mussa Tzboy :
kama unakubali mabibi zetu wameuwa like hapo😂😂
2025-05-28 08:14:43
4304
Haruni masesa :
tumekuja kama mabibiii tumezeeaka kishenziiii😂😂😂😂😂
2025-05-27 18:26:14
1593
officall lisah😶🌫️ :
mama mawigi kashawaharibu wabibi wa watu
2025-05-27 16:03:25
1915
MSUKUMA MKONGWE :
UVIVU TU WA kupaa na ungo USIKU 😂😂😂
2025-05-27 17:37:42
3391
Vonnie🥰💋 :
Unamuneshim zako bibi wawatu vzr kumbe ni zombii wa tiktok
2025-05-27 19:13:50
1132
KING+ 𝟐𝟓𝟓 👑 🇹🇿✨ :
KAMA MNAAMINI HUYU BIBI KASHINDIKANA GONGA LIKE APA😂😂😂
2025-05-28 06:41:41
237
Canibal Tz :
Ata alieanzish TikTok hawez Amini anachokiona
2025-05-27 19:23:14
205
fway🦋💜 :
Zombi mwenye koti jeus siez ish bila ww💔😂😂🙌
2025-05-28 08:40:43
165
faraja :
😳😳uvivu tu wakulea wajukuuu😁😁😁
2025-05-28 06:31:00
41
Mustafeyni-TV :
Mwanamke aguse coment yangu nimtongoze?😂😂😂😋😋😋😋Mnifollow Sasa 🙏
2025-05-28 13:57:15
9
Marthy🦋😁 :
Hii ni wazo la mama ma wingi😂
2025-05-28 10:35:38
14
[cute #mony]💞💞 :
tulio kimbilia comment tujuane
2025-06-22 16:15:16
8
faustine :
hivi huyu mama ujana wake alikua anafanya nini kuja kuforce kipaji ukubwani? mabinti jifunz3ni kwa huyu mama.😂😂
2025-07-20 08:28:43
5
Martha Gidafyg :
nyerere aje TU aone Uhuru alio utafuta
2025-07-26 08:13:12
5
AG :
hiki kizazi ni hatari🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-03 07:21:59
6
MC SAMWELI :
mitano tena
2025-07-17 14:38:44
5
Speedo.Tz :
😂😂😂. Wana wanga mchana kabisa duh. awa ndio magwiji kweri
2025-05-29 19:31:02
6
hance pop, :
wanao sema wametisha tujuane
2025-06-03 06:39:59
6
Zady🩷🦄 :
Kwan wazee skuiz wamepatwa na nn jamn 🤣🤣🤣
2025-05-27 18:25:32
6
Edda richie :
Aya yote kayataka coy mzungu 🤣🤣🤣
2025-05-28 09:13:47
8
Mr Ndefu Tz🇹🇿🇹🇿 :
uyo bibi kauwa🤣🤣
2025-05-27 18:30:51
16
Humble kiddo :
usikute hawa ni vijana ni maisha tu😂😂
2025-05-30 06:25:22
10
chammy 🦋 :
uvivu wa kulea wajukuu tu😂😂
2025-05-27 19:40:07
9
Kiddoh08 :
Ukute anaerecord ni coy mzungu😂😂😂
2025-05-29 05:48:44
100
To see more videos from user @mamamawigi, please go to the Tikwm
homepage.