@richardsimeod: #tanzaniatiktok #kenyantiktok #jifunzekitu #jifunzekitu #viraltiktok #formychampions #viraltiktok

Richard Simeo
Richard Simeo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 May 2025 05:53:16 GMT
72067
6239
211
606

Music

Download

Comments

midowood
MD Mido :
Aina ya watu hao hata akiumwa hauwezi jua na wala haashirii kama anaumwa ila akikwambia kwa mdomo wake kwamba anaumwa bas usipuuzie wala usichkulie poa... Atakuwa yupo katika hali mbaya sana ya kimaradhi😑... Msaidie haraka sna😎
2025-05-28 15:24:00
50
madame.matelephon
BABY MAMA♥️♥️ :
kama me ninavyoondoka kwa mwanaume wangu
2025-05-28 10:30:30
26
godfather8037
@_solosolocan :
kaka upo sahihi kabisa ani👌👌👌
2025-05-28 06:09:15
20
mra.og
mra og :
Ni kweli na hapo usitegemee kama atarudi nyuma tena
2025-05-28 09:49:22
8
enniestambuli
Ennie :
Yani kama unaona ninavyotoka
2025-05-28 07:08:07
4
annedecoolest
@annedecool🥰 :
kweli kabis 😔
2025-05-28 07:13:12
4
josphatkosgei175
lam a man of lnterity :
this true
2025-05-28 11:24:36
4
uraniumtz1
Uranium_Tz🇹🇿 :
tuko pamoja mpaka upewe uazili serikalini kaka mkubwa
2025-05-28 10:19:55
4
karusi58
Kelly's :
true I left after years but amesema I was the problem
2025-05-28 11:38:31
3
nillan750
nillan😇 :
ni kweli ni kweli kabisa that's me I did this to my aunt😞
2025-05-28 08:07:07
3
a.l.p.h.a.88
♾️ :
🤗🤗🤗
2025-05-28 05:58:04
2
mwagito55
Finest mwagito$$ :
moyo broken 💔 😂
2025-05-28 06:06:05
2
chimamydayna3
dayanahchimamy330 :
kbsaaaa
2025-05-28 05:57:25
2
.miss.engineer
Miss engineer 🥰🥰 :
dharau ambaz niliona haziishi nikaamua kuondoka kimya kimya up to now😢
2025-05-30 13:35:37
1
nasiraidid5
nas :
Bro,wewe ni noooma 🙌🙌🙌
2025-06-19 03:19:33
1
user2015988008173
@dijah credoh1 :
achen tuu jaman
2025-06-17 07:10:00
1
naominaki75
Naomi kavira :
ndivyo boyfreind wg alivyo ondoka
2025-05-28 20:52:12
1
jitegemeehardware4952
JITEGEMEE HARDWARE 😍 ✨ ♥ :
sure sure... 😂😂😂😂😂 bado najishangaa kama nimeweza ila nimeweza
2025-05-28 14:56:04
1
luyzar6
Mich~miyaner 60🌹🧚 :
ni kweli Kaka angu tunavumilia sana mtu habadiliki yani ila siku yakitushinda huwa tunaend kwa sababu za msingi wao wakidhani tumewaacha kwa kosa moja 🙏
2025-06-14 15:00:45
1
skygamer2027
SKY GAMER 🎮 :
NAMI nimeondoka🥹
2025-06-12 08:44:05
1
raifa.dunda
Ummy raya❤️ :
Mbn unatoa Siri kaka
2025-06-11 15:08:17
1
brightonekomora
brt kmr :
naondokaa kweli... ctawah rudiii
2025-05-29 07:57:01
1
chaupole097
username 37 :
nliweza kuvumilia njaa Tabu shida ila nlipomfumania ndo cku nlioenda jumla 😢
2025-06-04 06:23:14
1
umsack
lolo Spare part 〽️〽️ :
habari naomba uongelee iliswala la mwanamke kufokas na furahaa yake na Watoto wake na angali yupo kwenye ndoa ni yapi matokeo yake
2025-05-28 08:21:10
1
user66030580239485
Issa mohamed :
kweli kaka
2025-05-31 07:23:05
1
To see more videos from user @richardsimeod, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About