nyie wanawake ni nyoko kuen makin mkiangalia muonekano mtaolew na maxhoga
2025-05-28 19:39:42
50
Jey lee :
karma is real unachofanya leo kitakurudia kesho nyie wanawake endeleeen tuuu mumezid sana had kero sasa
2025-05-29 03:29:16
21
Bakari Ahmadi :
embu Jenga picha baadae ndo kashaaharibikiwa kazalishwa na hicho kibwana chake handsome kimemtelekeza Afu ndo anakutana na wewe mwamba Afu ndo anakuhitaji yupo serious utampa neno gani ukiwa kama mwamba😳
2025-06-01 14:31:11
9
@Senior_Ben :
the story similar to mine
2025-05-29 13:25:28
1
Ibrahim Juma122 :
musituzingue toeni muendelezo wake tujue mtu mfupi kafikia wap na uyo handsome kafikia wap na uyo shog ana leng gan toen harak kabla ya uchaguzi bado
2025-08-08 11:03:27
1
Abdullah @1017 :
Upuuzi gani sasa huu wakutoa vpande toa yete imalize wakufolow tufolow kama kawaida yetu waku like tu like na wa kukoment wakoment sasa leo hatujui hata imekuaje tutakufolow vp shehe
2025-05-28 15:38:28
8
chi mamy💘💞 :
wanapoteza wanaume bora kw 7bb wnawaskiliz marfiki zao
2025-05-29 10:31:22
6
salim_april11 :
Natafuta mwanamke mwenye mimba niende nae klinikik nikapewe chandaru cha bure maana mbu zitaniua
2025-05-29 05:02:49
6
Saleh Mokiwa :
Yan sisi wanaume kukataliwa nijambo la kawaida sanaa mm wala halinisumbuag kichwaa😂😂 mambo mengi muda mchache🏃🏼♂️🏃🏼♂️🏃🏼♂️
2025-06-10 08:53:40
4
@lollp2024 :
ukwel upi unauma ss mbn me sielew 😂😂😂
2025-07-10 14:37:57
2
prince raymo :
yes, wanawake wengi haswa wasichana wa miaka 18-25 wanaingia kwenye mapenzi kwa ushauri wa wanawake wenzie . mwisho wanaishia kwenye majuto.
2025-07-30 17:39:22
2
musasamu :
Hamna kitu kibaya kama MARAFIKI hasa Hawa wasichana ndo WANASHIDA Kuna MDA unamkosa MTU sahihi Sababu ya rafiki tu..
2025-05-29 06:49:37
4
treasure in the sky :
na huo ufupi labda upendwe na majini 😅😅
2025-05-30 17:12:11
1
asia abdully :
xx kakaa wa watu anaubaya gan mbona kijana kanyooka kabxa
2025-05-29 03:40:32
5
Moses Maulidi :
Bora kaambiwa ukweli kuliko kupotezewa muda
2025-05-29 07:04:57
3
Bayser :
Ahh yan demu akikupenda mashoga zake tu basi ushatoboa nakama hawajakukubali ahhh kazi unayo dude
2025-05-29 15:02:54
3
𝙈𝘼𝙎𝙏𝙀𝙍 𝙒𝙊𝙉𝙂👑 :
Tuelewe kitu hapa kwa kina dada sio kila shoga ako unazan anapenda mafanikio yako au mazur yako kuwa makini na mashoga wako✍️