saa hizo mnangoja choma, yenye nusu already ishaibiwa kwa jiko and then kuna paka nono under your table imetumwa kumaliza hiyo nyama kidogo mmebakishiwa
2025-05-29 18:33:43
139
HER ROYAL HIGHNESS (HRH) :
Hakuna watu wa Guinness huku yawa
2025-05-29 11:39:10
140
DJ Brainson :
Mix inachezwa kwa flash hakuna DJ 😂😂
2025-05-30 11:39:21
55
Frank :
Ipate Ile smooth upepo ya Lake Victoria pale Dunga🔥
2025-05-29 12:39:27
15
Mikey :
😂😂😂 Pilsner inasweat
2025-05-29 15:52:49
5
Kip' :
Balozi sana sana na guarana ya babes hapo kando😂
2025-05-29 19:14:49
2
RyanRaye :
Hapo Nairobi west saa nane wakitoa viti nje
2025-05-29 17:23:04
17
Mikejeff :
Huku sioni mtu ameokoka, wacha nitoke b4 mniharibu😂😂😂
2025-05-30 08:29:06
30
user3557538874475 :
Ni "huu" wimbo!, siyo "hii" wimbo! 😳
Kiswahili kitukuzwe!
2025-07-26 15:49:25
0
Fridah Moraa :
🤡🤡 inachanganya watu wanarewakurewa neema ya mungu imetuficha.
2025-06-24 04:42:07
1
Irine Soita :
True😂😂😂😂
2025-06-19 09:35:05
1
Yvonia Koi Maina :
Mimi inanuka road trip na bae ,stop over kadha,miguu kwa dash board watoto kwa grandma
2025-05-29 17:29:34
15
kelele za meli :
😂😂na pale Dunga Hill Camp
2025-05-29 21:53:03
5
Jackson Martin {Prev. JackMa) :
Na Guinness Baridi.. Yenyewe siwezi acha Pombe.
2025-05-29 15:48:32
10
honorbrian :
Kwanza zikuje mbili mbili. Moja ikiwa room temperature na nyingine baridi. Uzuri niliacha pombe kwa counter 😅.