kweli ila mimi kama mimi naogopa kumuelezea mtu wa karibu mambo yangu maana binaadamu ni wanafki unamuhadisia kitu kisha na yeye anaenda kuhadisia kwa watu wengine😏
2025-05-31 12:15:36
5
Allah is good :
bas maumivu yakoko yaeleze mola wakotu bas❤
2025-08-16 13:15:10
0
sity :
nikweli kaka
2025-06-17 07:44:42
0
2024 :
fact 😥
2025-06-16 23:03:58
0
bul bul :
Mbon ni nyinyi tu kweenu mi sitak mtu wa karib wal rafiki 💔 sitk mtu yotote w kuweza mwambia mambo yang
2025-08-05 03:39:24
0
mwanaidi :
kweli abduli wamudir
2025-07-24 20:01:27
1
@UmmuAbdul-Rahim :
Allah pekee anatosha
2025-08-07 15:59:37
1
Hawaa :
kabx 💯
2025-07-30 14:27:40
1
Shani ramathani Shani ramathan :
Elezea maumivu yako tukusikie
2025-06-14 17:49:11
1
ffetty white :
dah nikweli kabisa
2025-06-10 07:18:54
1
Salama Kishuga :
hivi nikweli ee
2025-08-07 12:35:43
1
tii :
Njoo kwangu unielezee ili upate faraja yakukuumize pekeyako washauri tupo
2025-06-14 21:12:03
1
Salma :
mimi pia napitia hayo je wakumueleza nani?
2025-07-01 09:02:30
1
thumasamjay :
Sana tu
2025-06-23 19:17:31
0
Ramadhan sarehe :
nikweli kabisa
2025-07-06 20:32:27
1
rukia :
siku zote nikiwa na mazito ambayo siwezi eleza yoyote mm ukimbilia Kwa mola wangu maana yy ndie ajuae wazi uzito nilionao moyoni mwangu
2025-08-06 21:36:03
0
Kudra Mtenji :
ilo kweli ndio linalo nitokeya mimi
2025-08-01 07:07:30
1
Mansel :
sahih
2025-06-26 14:25:38
1
mwajumahabibu7 :
hakika
2025-06-27 13:39:45
1
بنت السعدي° :
kweli kbsa 😭 😢
2025-06-27 02:45:57
1
Joisaziada :
YAARABI naomba tusikilize sisi tuliobaki na wewe tu kwenye maumivu yetu.
2025-06-18 12:46:08
1
user15787197847161 :
wallaah hv sasa hakuna wakumuamini zaidi ya wazazi wk lkn km ss tusio kua na wazazi bs tunabaki kulia na Allaah atupunguzie maumivu tunayo yapata😞
2025-06-21 15:39:27
1
عائشة بنت إسحاق السلفية :
eeeeeeh jamani njo tufarijiane 😭🥰
2025-07-30 21:26:06
1
Hamiday :
Haswa naunapo kua kwenye kipindi hicho Kila mmoja hukutenga
2025-06-27 20:01:39
1
user3877729056785 :
Fact👌
2025-07-22 14:24:57
1
To see more videos from user @ustaadh.abdulhaleem, please go to the Tikwm
homepage.