@thewinnersfoundationtz: 🌿✨ KAZI INAENDELEA! Kutoka Round About hadi Kanisa Katoliki – tupo kazini kuhakikisha Geita inang’aa kwa kijani kibichi! 💪🏽🌱 Hii ni juhudi ya kuiweka Geita katika mandhari maridadi, yenye mvuto kwa wenyeji na wageni, huku tukijenga mazingira safi, salama na yenye afya. 🌍🏙️ 👷🏽‍♀️👷🏾‍♂️ Haikuwa kazi rahisi, lakini hatuchoki, hatuachi! 📍Tunakumbusha kuwa huu ni mwanzo tu – kazi ya kuiweka Geita ya kijani inaendelea! 🙏🏽 Shukrani za dhati kwa washiriki wote waliotoa nguvu, muda na moyo kuhakikisha hili linawezekana. Pamoja tunaunda mji bora kwa vizazi vya sasa na vijavyo. 🌳🤝 🔰 THE WINNER'S FOUNDATION Empowering Communities for Healthier Tomorrow 📲 Follow us: @thewinnersfoundationtz #GeitaYaKijani #EmpoweringCommunities #MazingiraBora #GreenGeita #TheWinnersFoundation

The Winner's Foundation
The Winner's Foundation
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 May 2025 16:53:26 GMT
165
11
1
6

Music

Download

Comments

thewinnersfoundationtanz
The Winner's Foundation :
well done, congrats
2025-06-28 19:17:01
1
To see more videos from user @thewinnersfoundationtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About