@beindogo_electronics: Kiboko ya wezi wa TV🙌📢 ▪️Hakuna kubeba tena TV kuingiza chumbani kwa mikono kuhofia wezi❌❌ ▪️Nimewaletea hii TV Stand ya matairi itakurahisishia kazi, unavuta mpaka chumbani na kuitoa kirahisi kabisa. ▪️Inabeba TV kuanzia Inch 32" mpaka Inch 75" Bei 450,000/= Tshs 🚚 Free Home Delivery(DSM) ▪️Mikoani tunatuma ☎️ 0715992211 #movabletvstand #tvstand #homedecor #onlineshopping #tiktokshop #office #presentation #creatorsearchinsights