@monsuly2: Kuna wakati ni bora Mtuu ujue Yupo kwenye kipindi cha maumivu lakini ni maumivu ya kupona kwasababu ya kuachwa na mtu anayempenda Kuliko Maumivu ya kumvumilia mtu anayekupotezea, Kwasababu siku zote mvumilivu huamini kuwa ipo siku Utabadirika Na mtu anakuvumilia kwasababu sio kila mtu anaweza kuwa Maraya 💔😪😪😪

Monsuly
Monsuly
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 May 2025 21:39:57 GMT
1278787
78326
1528
8982

Music

Download

Comments

idd_hamisi006
idd_hamisi :
nimelia Sana wacha nicheke tu coz for now 😂😂😂😂😂
2025-06-01 12:44:09
36
officialhaleema951
Haleema🥰🥰🥰 :
nataman ku move on lkn nashinda alaf ananitesa sna daaaaahh😭😭😭😭
2025-05-31 07:36:47
181
fetty1589
IAM_FETTY :
nipo kwenye hyo changamot but namuomba mungu namimi niishi bila kujali uwepo wake bas niish single tu
2025-05-31 05:55:58
50
essy___nass
miss -nass🔥 :
love hurts 🥹💔
2025-06-01 05:01:09
18
salmahya5
stitches by salma ✂️ :
daah humu tumejaa wanawake 😳 wanaume ni umbwa
2025-06-23 16:46:50
31
loviee056
official love❤️ :
mapenz yananiumiza😭😭😭😭
2025-06-01 08:52:49
58
.blackcoffee34
S EN E🌹💋 :
mm huyu hapaaa ninaheal kumpoteza nliyempenda
2025-06-01 07:46:14
9
tatianaflo186
Florah Achieng' :
Nina mtoto wake tayari jamani💔
2025-07-23 21:33:28
11
user2133014144950
@ummy ima :
ninajipa moyo ila hakuna kinachozidi zaidi ya moyo kuwaka moto
2025-06-01 18:47:03
9
nancyk280
It's NAZ💝🌷✅️ :
Ni kama umejua hali ninayo ipitia kwa sasa tuko juzi kila mtu anafanya yake na tuko kwa nyumba moja
2025-06-01 10:25:19
8
zena.sadick
patyma💞 :
Kwan watu ambao wanafulahiya mapenz wak wap mbon kila mtu analia😂😂😂me mapenz yanisubir miak 6 mbele
2025-05-31 16:59:46
21
djcarrinah254
Maha wa moha😍❤️ :
😭😭haya yote ndugu ndo yananikumba kwa mda huu
2025-05-31 12:00:01
10
mommyvee34
Momy avril❤️✝️ :
kumvumilia mtu anae kupotezea😭😭😭 is very sad😥 inauma sana🤦💔
2025-07-02 08:37:16
25
user7798879814377
Carolina Zakayo :
mapenzi yanaumiza san😂😂😂
2025-07-23 16:59:28
5
user45290819787441
user45290819787441 :
Huwa nateswa na mahusiano but Asante MUNGU umenipa anipendae
2025-07-10 19:22:56
5
haniabby562
hania bby62 :
yani acha tu 🥺🥺🥺
2025-05-31 10:43:20
7
user1142286126119
Mrs ❤️❤️ :
wangu alipopata kazi tu mambo ya dharau yakaaza aisee mbwa yule
2025-05-31 14:52:28
10
abigael.gentille
Abigael gentille :
ni kweli nakumbuka ex wangu 😩😏
2025-05-31 03:13:49
8
ramaramsey77
Proramsey2567 :
sure
2025-06-01 20:37:54
5
officialg353
Official G :
yule mbwaa yule 😭😭IPO siku nita move one acha now ni🤔😭😭
2025-06-29 05:24:52
10
user15363910460577
Luna :
my situatio write knw
2025-06-01 03:19:02
9
sandrababy385
🤍🦋Sandie🌸🦋 :
Agree👌😭💔
2025-06-01 02:47:53
5
user7199762745587
Dee cute💋🦋 :
acha bas😭😭😭😭😭😭
2025-06-01 20:09:50
5
millah2483
🍃🌴Yvonne 💍☘ :
my situation now😭😭
2025-05-31 18:32:25
8
svendays
kiba breez :
monsuly ndug yang nilikutaft kwamb ninashida nahitaj msaada wako tuuu katik husian langu
2025-05-30 22:09:35
14
To see more videos from user @monsuly2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About