@yonahchilolo: Replying to @chancebaguma4

Yona chilolo
Yona chilolo
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 June 2025 12:13:33 GMT
104882
4520
323
388

Music

Download

Comments

evchristineblessing
EV. CHRISTINE BLESSING❤🔥🔥 :
😂😂😂😂Ukimpenda Mungu wanakuchukia bila sababu tusonge mbele Chilolo Mungu ni kila kitu
2025-06-01 12:45:06
35
humblelady254gmail
humble lady :
wooow nyimbo zako zko soo motivating sna🙏🙏🙏
2025-06-01 18:03:07
11
carvanysharma
sharmah 254 :
acha watanzania sasa,nikipe mapenzi ya kenya
2025-06-01 12:44:39
5
lindaobuya
Tinnah @highlight :
this is pure gospel 🙏🙏🙏🙏 be blessed for those words
2025-06-01 16:06:41
6
eglaywakhu1
eglaywakhu :
my favourite,,,,,vita naviachia bwana siku zote
2025-06-01 17:37:50
3
user28188mrsp
linha mommy 😘😘 :
yani nyimbo zako zinanitiaga moyo nikiwa na majonz
2025-06-01 16:52:58
2
user3828514403345
user3828514403345 :
kaka shilolo nifanyaje na mm niwe kama wew maana mm napenda kulewa sana lakin hua nikisikiliza nyimbo zako nakumbuka mbali sana
2025-06-02 01:05:31
1
bint.naomi
Rachel :
huu wimbo nimeusikia kwenye misiba jamani mbaya adi mdg alivofariki waliweka unanifanyaga nilie nukiusikia
2025-06-01 18:03:16
1
tellme719
WHO AM I!!🫂 :
mbona nyimbo zako zinanizugumzia mimi...
2025-06-01 13:18:58
4
smauelboy
dont care :
mtu anatoa wapi nguvu ya chuki na hajui hat kuandika
2025-06-15 16:08:14
1
annnthenya123
Ann Nthenya :
Nice song,lkn mnajifanya hizo meno hamuoni vile mungu alizipanga bila haraka
2025-06-01 20:16:35
1
calebchepkwony
CALEB BARORET JR 👣✌️ :
Underrated man.. napenda nyimbo zako uzidishiwe usikose chochote
2025-06-01 16:27:55
1
marion43
🥀🥀Marina Bay Jj🟪🟣💜🇬🇧 :
Naomba siku Moja tupatane tu uniimbie tu ntafurahia sana🙏🙏🙏🙏💞
2025-06-01 20:15:06
1
lovenesdeusi4
lovenesdeusi 💚💜💕💗💙 :
unajua Sana kaka
2025-06-01 12:18:12
1
user4727945429851
winfrida :
achana nae huyo atakua umba kaka usijenyamaza,maana roho wa mungu kaamua kukutumia iliutukumbushe vijana nikiwemo kama wimbowa uchumbamiaka3 barikiwa
2025-06-02 06:27:16
2
dukiriya1
Dukiriya Pius :
kakangu mungu akupe maisha marefu
2025-06-01 16:21:01
1
neema.simba3
Neema Simba :
Hilo jini jingine ambalo halijui aina ya dini, kaka imba mpaka mitandao yao yakuzimu ifyatuke
2025-06-02 19:16:39
2
user4727945429851
winfrida :
achananae,huendabadomuda wake hujafikawakuelewa.Wekakaendeleakutupa funguo roho wamungu kaamuakukutumia kwajiliyetuvijana hasakwenyeule wmbo uchumb
2025-06-02 06:35:18
1
jacques.famille
ASIFIWE mkn :
na mimiii na leta jibuuu hizo nyumba ni zaki Cristo ! kwani hazi sikilize kwako ?????? pole sana nina jibu ku toka Congo
2025-06-02 01:45:46
1
jillian.shantu
JILLIAN SHANTU :
hule wimbo umeumiza wengi😂😂😂keep going 🙏 ujumbe unauma🤣🤣
2025-06-01 15:53:17
2
user9424227012416
isack mw :
kumbe hata yesabeli mwenyewe hajitambui,
2025-06-02 01:52:12
1
adorateurguillaume
Adorateur Guillaume radjabu :
kwanini ku remix wimbo n'a bado original yake ni mpya? umeharibu huo wimbo sasa
2025-06-01 19:34:27
1
swee0459
💜SWEET REENAH💜 :
🙏🙏🙏🙏I love your songs anyway be blessed
2025-06-25 07:28:44
1
user1699978916372
adah masudi :
Elia ako wapi bro ma ulionea wapi nywele ya Samson
2025-06-01 18:49:24
1
neygeorge6
Ney🥰🥰 :
unaitwaje huu wimbo
2025-06-01 19:26:15
1
To see more videos from user @yonahchilolo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About