@wilytza: Lala salama Baba yetu. tunakupenda na tumekumiss. kwa niaba ya watanzania. we miss you #creatorsearchinsights #magufulikitiktok #magufuli #magufulijembe #AfricanMovies #
hii damu bado ipo ardhini inapiga kelele inataka haki yake😭
2025-06-02 11:41:26
67
Jescar Tungu💖💖 :
,😭😭😭😭kaka umnifany nilie ndo cku nlijifungua na magufuli akafariki nmmisi sana huyu baba apumZk kwa amani
2025-06-01 22:34:29
44
Dr. Simon :
Sure Rais ambaye angetufikisha nchi ya ahadi. Iko siku tutapata mwingine kama Magufuli
2025-06-01 17:44:34
197
user6651615634342 :
huyu ndio ilikua bahati kwetu,tulishindwa kumuombea awe salama,ona sasa
2025-06-01 15:58:43
99
Aman Aman :
nikionaa iv machozi yananitokaa mimi
2025-06-01 15:17:41
43
Msungu :
nimekuta machozi yananitoka tu aise du vyema havidimu
2025-06-01 17:40:07
38
Mr D✌️ :
What happened to these great people surely. KIJANA WAMALWA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 GEORGE SAITOTI 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 WANGARE MATHAE🇰🇪🇰🇪🇰🇪. CDF OGOLA🇰🇪🇰🇪🇰🇪. FANUEL ZEDEKIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿. POMBE MAGUFULI🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤔🤔🤔😔😔😭😭😭
2025-06-02 06:00:59
7
roicyshango652 :
roho yangu inauma sana,😭😭😭
2025-06-01 18:06:34
26
Fashion trends💵 :
Lala salama Baba lkn Tanzania sio salama tena 🥹🥹🥹
2025-06-20 09:06:29
14
berthasamuel12 :
kila siku huu msiba ni mbichi😭😭😭
2025-06-03 05:10:11
13
Adelina Chawe :
😭😭😭😭😭😭watoto wako machinga tunakukumbuka daima mungu akupe bumziko baba etu hatuna namna
2025-07-21 21:44:19
6
🦋Itsflorah🎀🧸 :
Tanzania tunavomuenzi uyu baba kam amefark jana jmn 🥹😔RIP dady 🙏
2025-06-19 11:32:25
11
sengip76 :
duuh baba huku Kuna watu wanakula vitu vya watu halafu ss ndo tulipe baba
2025-07-22 20:40:31
6
usezuhura malahiyo :
niliumia sana huu msiba mungu tunakushukuru kwa yote
2025-06-01 21:40:09
12
Theletalla🎤 :
nilipitia wakati mugumu sana hiyoo week iliniumaa sana ni miaka minne baba lakin ni kama leo umetuacha😭😭😭😭😭😭😭 MUNGU AENDELEE KUKUPUMZISHA KWA AMANI BABA ETU KPENZ TUNAKUPENDAA SANAAA❤❤❤❤❤❤❤
2025-07-21 18:41:21
5
merry❤️❤️ :
Yani unatonesha vidonda niliumia sana hiii siku😭😭😭
2025-06-02 08:15:32
8
haji charby😃 :
vzr havidumu🥺
2025-06-02 10:01:27
5
Dalton Gibson :
Hakika Mzee Magufuli alikuwa Rais bora Tanzania. Pengo lake, ubora, umuhimu katika Uongozi tunauona. In real i hate politics ✍️
2025-06-03 08:03:34
7
MR.KIPINGI🐟🐓🍳🥚 :
😭😭😭Dam hii imeliza wengi sanaaa hakika huhitaji kujionyesha sana fanya kilicho sahihii watu wanakukubari wenyewe ila Mungu akulaze pema Mwamba Wetu kama ni mkono wa mtu ulihusika hatumuombei mabaya neno ni moja tu malipo ni hapa hapa duniani
2025-06-02 18:14:01
5
focusSankara! :
sijajua kwanini adi Leo nikiskiza hizi songs alizoimbiwa Mzee Magu nafeel kulia,sijui kwanini zinatoka direct impact moyoni 😢😢
2025-06-02 04:16:35
10
uncleje the king :
magulification of Africa kila nikikumbuka haya nabaki nalia tu
2025-06-01 16:37:29
7
Tajir makruh :
😳😳From Kenya We love him alooot 🥰🥰
2025-06-01 17:45:55
6
Laurencia Philipo :
jamani jamani baba 😭😭😭😭😭😭😭😭
2025-06-01 17:27:06
5
Clara Joequite :
Mungu azidi kumpa pumziko la milele baba yetu kipenzi 💔hakuwahi kutubagua ingalikuwa sio watoto wake💔😭😭
2025-06-02 16:13:46
8
user3862514562111 :
pumnzika kwa amani baba
2025-06-01 16:31:53
5
To see more videos from user @wilytza, please go to the Tikwm
homepage.