@mangekimambi1: TAZAMA MPAKA MWISHO

mangekimambi
mangekimambi
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 June 2025 19:15:52 GMT
667711
26245
870
795

Music

Download

Comments

gyakie082
Jacq🧸🩷 :
Hatukubali mpak tuone mmefunga harus mara nying kam kina jukusi☹️
2025-06-01 20:20:48
184
officialtinnah06
user2667362710453 :
unaweza kuta n mziki mpya kwel hawana baya hawa😂
2025-06-02 05:58:46
56
skalet050
#sky❣️ :
Masha Allah 🔥😍😍😍 walo sema haolew muko wapiiiiiiiiii😅
2025-06-02 06:10:42
0
chungaadventures2020
chungaadventures2020 :
watu wanawekwa attention kuna ngoma inakuja
2025-06-02 06:12:39
10
madam.salma7
Madam salma :
hahahahahhahahahaha mpaka Raha kama nikweli jmn mung awape maisha marefu
2025-06-02 05:17:06
2
eminem_633
Eminem♤ :
mange tunaomba umbea wako jamn
2025-06-02 05:23:36
1
user2427stellar
user2603536242749 :
jamani hatukatai lkn ss waislam tukifunga ndoa lazima walii awepo baba au kaka haya shehe tangu lini akawa walii na akamuozeshaji emu jamani nielewesh
2025-06-02 08:43:40
11
abbyhoz
AbbyHoza🧿C.E.OSchoolkitaa✍️💞 :
Nachojua mie ni kuwa huyo shekh hanaga tabia za kucheza na mambo ya imani na vitu vya kijinga.. sasa endeleeni kuamini wanaigiza 😃
2025-06-02 07:13:40
12
adelina.remigius
Ade❤🥰. R.. :
yaaan awa wanaishi Kwa skutegemea kiki to watawachanganya mpaka mkome 😂😂😂
2025-06-02 05:37:21
4
ibnisaalim
ibni Saalim :
kama mwanamke amezaliwa nje yandoa baba hahusiki ndoa atafungisha kadhi au sheikh kwaiyo sheikh walid yuko sahihi
2025-06-02 12:50:42
22
salamamussah
salama mussa :
kwisha habari yako Adi umepost😏😏😏
2025-06-02 05:08:36
1
hanoun3181
mama cham :
kwanza sio Zuhura Othman ni Zuhura Khadija
2025-06-02 05:55:45
13
user2094821573057
*Jazz Berry*❤️ :
ghafla waseme ilikuwa ni video ya nyimbo 🤔
2025-06-02 05:45:37
1
elvirakamugisha
elvira kamugisha :
Jamani hii ndoa ni ya kweli na mi nilialikwa sema nauli kutoka huku kigoma ikawa imekosa alafu huyo shekhe namjua kabisa, busy kusoma comment yangu 😂
2025-06-02 05:41:18
10
niffasalmu57
Niffasalmu57 :
Dahh Ila Dada Mange Nakupenda bure sasa hapa watu wangejuaje yaani kazi yako unajua kuifanya hata kina Mwijaku na wenzake hamna kitu 😅😅
2025-06-02 04:29:59
11
ramjoash
🌠🔊Ram🌬Ra🇰🇪 :
mange na wewe hua unapata aje hisi video na uko US..mkenya nakukupali sana
2025-06-02 05:46:05
2
user85299979108742
badraty :
kwanza apo alotakiwa aozeshe ni baba au kaka pili ilibidi kuwe na ubani jmn ubani ndio ndoa kamili yani nisawasawa na pete kwa wakristo
2025-06-02 05:53:17
4
ommieway
Ommie Way :
Diamond anaguna tuuu mhhhh😂😂😂
2025-06-02 05:28:42
3
smartmuxxa18
m_smart18 :
mond mwenyew anafulaha anacheka kinafk😂😂ila kinganga
2025-06-11 15:31:39
0
summy45_
user@ sumy :
dah kumbe kweli
2025-06-10 22:54:01
0
user1257968005580
Rehema mwinjaku :
Jaman mufut hawez kufake tuwa waelewa kwan kwann nyinyi mnaumia
2025-06-04 14:06:18
0
b.e.lliavie
Rose Victory :
my search bar diamond ampa talaka zuchu
2025-06-03 20:25:13
0
rehema.simon6
rehema simon :
kiki hii huu utakuwa wimbo .
2025-06-02 15:38:15
0
user4304786717071
Athumani :
Yaani Watu Hawana Adabu Na Heshima Za Kweli Kwa Mashekh Wao Kidogo Tu Mtu Anakosoa
2025-06-02 15:01:33
0
meyyecollection
MEYYA Collection 12 :
utaweka wapi sura Yako 🤗ulikuwa ukimshambulia
2025-06-02 05:26:57
0
To see more videos from user @mangekimambi1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About