Bro mjomba wetu unampositi tiktok kwa izini yako au kwa makubaliano yako na yeye maana unamzalilisha hasa wakati ambao amelewa ndo unamfanyia ivi so ni kosa hili chukua tahazari
2025-06-02 19:05:30
11
GYM..HOM.💪 :
we ndo fala sasa kula ndo maendeleo yenyewe😂😂😂
2025-06-02 14:32:50
15
Abelly Mtega :
Yuko sahh ela ya kula hutakiw kuwaza waza maendeleo maana kula kupo daima
2025-06-02 17:00:32
19
Miggo Single :
kwer kama ukiona unawaza ela ya kula jiangalie san
2025-06-02 15:12:01
15
Jean Leonard Kagibwami :
kwani tumbo Iko wapi ? nauliza to
2025-06-03 16:31:14
1
Eras $ majara :
hili litakuwa liHAYA hili
2025-06-02 14:31:06
8
Robert Jackson :
ilaa w2 nusu daah cjawahi on m2 mfupi ambay han vi2ko
2025-06-04 14:55:42
1
twaha semka :
🤣🤣🤣 🤣 ujumbe umefika mzee eti we fara nn
2025-06-02 14:14:37
9
moyamba :
ila wazee wanakera hata akikutukana inabidi ukaushe tu huwezi kumjibu