@kijanawaporini45: #kijanawaporini #kenyantiktok🇰🇪 #nairobitiktokers #tangatanzania🇹🇿 #kenya #tanzaniatiktok #african #africa #terding #videoviral #trendingsong #humour #video #videoviral #chiken

kijanawaporini45
kijanawaporini45
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 June 2025 06:38:01 GMT
1279018
53271
1583
944

Music

Download

Comments

thefalcon115
MWITA THE FALCON 🦅🦅🦅. :
better hivii kuliko kupea msichana pesa zangu 😂😂😂😂
2025-06-02 12:19:24
772
user39561947581920
Vanessa :
watching with an empty stomach aki hii dunia haina huruma
2025-06-03 07:55:40
350
mama.wawili1431
mama wawili :
mnavyokomba mboga na mwanao , jioni mtakula maharage sawa ;
2025-06-02 11:23:29
451
ojoatrerichard
ojoatre Richard :
Bad training, you don't give her all that ,she is going to be extravagant and selfish in future
2025-06-03 10:25:06
22
abraham50015
Pyram :
Niko sure hio kuku ni ya wizi 🤣🤣🤣
2025-06-20 11:21:20
65
jacklinegerald992
Jackline Gerald :
cheki mtoto alivyokaa vzr na vimiguu vyake kakunja utafkiri anaswali 😂😂
2025-06-02 11:35:20
120
mwijaaa
MWANA WA HANTOWOLAA :
acha kupost vyakula kunawatu hawajala toka jana so iyo unakua kama unawalingishia mungu apendi
2025-06-03 07:40:08
86
wambuiessy0
Wambui Essy :
Mtakula nn Christmas
2025-06-03 09:20:15
17
nessylove02
Adhis_totoo🥰 :
when I grow up I want to be in this familiy 😉
2025-06-02 13:31:31
6
ndunge0707
francisca ndunge :
hio ni kuku kweli????
2025-06-02 09:51:52
61
user4613247377509
Method kifoka Method kifoka 82 :
mbona paja kubwa ivo, ni kuku kweli au mwewe😛😛😛
2025-06-02 18:44:31
41
parin.82
parin 82 :
huko kwenu kuku n bure😂
2025-06-02 12:57:28
23
earlymoon00
tamnai :
sisi tulikuwa tunapewa shingo ama mguu
2025-06-02 10:52:43
41
tikadeli.store
Tikadeli store :
nyie watu wa dar mmeona supu Ya kuku 😂siyo supu Ya kuku inakuwa Na rangi ,kama maji 😏😏
2025-06-02 11:23:42
9
user465312671677
Mama Patrick :
Baba na mwana mama yenu yukoapi 😁😁
2025-06-02 12:42:50
6
rebeca.julius.msa
Rebby 🍒.. :
mama anachukuwa video.. zilizobaki kwenye sufuria za kwake
2025-06-02 10:39:40
6
user3824390973983
magie vador :
uyu ndo kuku sasa sio wale kwiko kwiko
2025-06-02 09:33:53
7
emanuel.mgumba1
Neyla t :
😋😋😋😋😋😋😋kunitamanisha tu kwenye bando langu 😂😂😂
2025-06-02 08:56:19
17
www.tiktok.commamu3
M@mu :
mume wangu nataka turudiane tusahau ya nyuma ety me nakupenda
2025-06-26 08:11:27
2
chagaagirl30
chagga girl :
mpo wapiii 😂
2025-07-25 09:12:46
0
princerichiejunior
Richie Jr :
Maisha unayompa ukitangulia tuu, unatuachia sisi matatizo, anaona kama anateswaaa😁😁😁
2025-07-23 19:28:59
4
miss_lovene
Bint shango🇰🇪 :
wanaume mnamatumizi ya ovyo kwenye mboga😂😂😂sasa ndio utenge sufuria hapohapo jmn...
2025-08-06 14:11:37
2
mboneakamili
best Luther tz :
usisahau deni la taifa unadaiwa milion tsh 1600000/🤣🤣🤣 endelea kulakwaaman2
2025-06-14 16:48:54
3
quishous
,,_realquish🦋 :
Kwan nyama kama ivo mnatoaga wapii 🙄😂
2025-06-02 15:57:05
4
irenemlega
Ireneblack beauty :
Nikiangalia mm kwetu kula kuku mpka aumwe kuku au agongwe na pikipik navyokwambia huu mwez wa 3 sijqla kuku😩😩
2025-06-06 08:26:29
2
To see more videos from user @kijanawaporini45, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About