Mmarekan anawaza kuongoza dunia, Mchina anawaza kua mfanya biashara wa Dunia nzma , Mrusi anawaza kua mtengenezaj siraha mkubwa Dunian na Ujeruman technology....Africa tunawaza Dini na kunsubr Mungu assure kutuchukua na utawala n Uongoz kutoka kwa Mungu n HUZUN
2025-06-03 10:50:39
14
lonerjrr :
dada acha lawama
miwani ni ya mkoloni
nywele za mkoloni
na kwann aakufundishe kila kitu fanya na gundua mwenyewe.
tunamshukuru Mungu kwa ajili yao wametusaidia kwa kweli
don't be very negative
usiwalaumu walituletea mapinduzi bila utumwa tusingejua thamani ya maisha
2025-06-02 17:34:42
9
universal_closet :
stay blessed sis ❤
2025-06-03 23:05:54
2
Mshua..rasta :
dunian Kuna matajir Kuna maskin lakn lengo ni Moja kumpokea Yesu kristo Kwa kutenda mema2 Kwan tukimpenda tutazishika Sheria zakezote ni kweli na aminia✊🏽
2025-06-02 17:33:10
6
Änörđ_4👊 huruma sio malezi ❌❌ :
viongozi wanajua aya ila ndo wanashilikiana nao
2025-06-03 22:16:04
3
Ismail Furaha :
nimeona kipaji Cha ushawishi NDANI yako, plz kuw kiongz mm Niko na ww na kura yangu nakupa
nakupenda buree mdadq
2025-06-03 05:31:17
9
Bantu Manyema :
Dada sio kwamba kuna shida zaidi ya hizo? Mbona wapo watu wamepelekwa kusoma nje huko lakini wakirudi wanakuwa sawa na waliosoma huku?
2025-06-03 11:49:11
4
Wanibu Studios :
kwa huu utandawazi na vitu vipo open production knowledge zipo, ni kuondoa fixed minded
2025-06-03 10:31:36
5
tedtandi :
haya mambo ya ukoloni yanaweza kuisha wakati mipaka yote itakuwa huru kati ya wafrika hapo ndio ufumbuzi mkubwa utaziidi mkoloni.
usikate tamaa wewe unaumuhimu mkubwa sana ila watu wanapenda kusikia vile wanavyo penda kuvisikia uwe na moyo huo huo usikate tamaa
2025-06-04 11:56:43
3
musamusabato :
Dada unaongeaga kama uko kichwani mwangu yani nakuelewaga sana Nakupenda kweli
2025-06-02 22:43:43
5
muhinapainting :
ubarikiwe sana dada uishi sana
2025-06-03 04:15:23
3
Mikapakapa :
majibu uliyoyatoa yangekuwa sahihi kama tungekuwa miaka ya sitini. sasahihi tunavyo viwanda vya sukari na tuna viwanda vya pamba nk.
2025-06-03 20:32:52
1
Big 3 :
hatuezi kua na viongozi bora kwa sababu mfumo wa uongozi ni wao yaani democrasi unaongoza lakin mamlaka niyao wao election pia nimfumo wao ndio wanaeka vibaraka wao ndiomaan africa ss tunazalisha tu mapasta na masheki bt ukweli teknolojia wanazotumia zilianzia africa
2025-06-03 15:17:51
1
Sammy dee :
sasahivi wanataka kutumaliza kabisa wametuletea AI 😢
2025-06-03 10:24:16
3
NCHAGWA MARWA :
dada umepiga kwenye mshono inauma waafrika wengi tunaangaika na dini za kigeni kuliko kutumia akili
2025-06-03 04:55:35
3
paradise buku :
nakupenda
2025-06-04 11:58:19
1
official william :
Tabitha binafsi nakuelewà sana ima wao wakoroni Hao walifahamu vipi kubadilisha muwa kuwa Suvari na siyo sisi?
2025-06-02 17:52:27
2
hafidh machai :
Nakukubali sana dada yangu😔
2025-06-03 23:25:43
1
ockytz :
nilicho gundua africa hatuwezi kujitegemea coz hawa wazungu tayar wameshatengeneza mifumo ya moja kwa moja ya unyonyaji tutakua tunahama tu Leo kwa mwingeleza kesho mjelumani kesho kutwa mrusi yani ni unazunguka kwao tu
2025-06-04 00:24:56
2
mwakyusa :
afrika hakuna uhuru industrial revolution ilitumika kutupa uhuru wa bendera. ili wachukukue malighafi nawaje watuuzie
2025-06-03 05:35:42
1
mduigerard :
aisee!!!
2025-06-03 09:19:07
1
To see more videos from user @eyes.wide.awake, please go to the Tikwm
homepage.