@african_boy47: #swahilitiktok #gwajima #ukweli #kanisa #tanzaniatiktok #dini #akili #amani #ibrahimtraore

African_Boy
African_Boy
Open In TikTok:
Region: US
Monday 02 June 2025 17:42:41 GMT
44040
1848
341
348

Music

Download

Comments

dembele8047
dembele :
huyu jmaaa yuko sahihi kabsa
2025-06-03 06:26:35
74
user749230304553786
idrisa nikiyi :
kumbe kwel ukiristo ni ushenz cijapata kuona
2025-06-03 06:36:34
50
user1952878779446
JAVA LION :
siku akiweza kusaidia masikin waliojaa kanisan kwake na akaacha kuwanyonya mpaka kile kidogo walichonacho kwa kivuli cha sadaka, hapo nitamuelewa🤣🤣
2025-06-02 20:40:16
19
bichuka.katoto.has
Hassan Katoto :
Ukiongea ukweli watu hawapendi hongera sana brother
2025-06-02 19:27:53
30
luphotopessa20
luphotopessa20 :
wewe umesema ukweli kabisa nahuyu gwajima analake jambo naona kachoka kukaa kwenye amani kama amechoka ahame aende akakae mataifa yenyevita
2025-06-03 09:25:35
14
user17436540886726
chake chake :
huyuu jamaa hajawahii kuongea pumba
2025-06-03 07:34:13
33
elabdoul7
EL AbdouL :
Leo ndo nimekupenda kw kuzungumzia ukweli juu y Uisilamu 🥰 maashallah
2025-06-03 10:08:44
14
hamqaati
hamqaati :
asante kaka uko sahihi umetukumbusha japo tulikua twajua toka mwanzo
2025-06-03 11:17:29
6
matterm08
us :
kuhusu uwisilam uko sahihi kak
2025-06-04 14:49:14
5
king_fashion99
lusam balozi :
Bro mm nakuelewa sanaaaaaaa
2025-06-02 19:32:54
19
seifabdallah86
seif abdallah :
yuko sahihi
2025-06-03 08:10:20
7
bm.collection804
Bm collection :
Kumbe huyu jamaa anaongea point sasa naanza kukufatilia
2025-06-03 12:42:02
5
arachuga2
Mkuludawa :
kweli kabisa
2025-06-03 04:10:07
8
user2590810246904
Dullah_kidali :
sas mbna kila anayekosoa serikali ya CCM we unadai ni kibaraka wa wazungu je na hao CCM je viongozi wao sio vibaraka wa wazungu ?
2025-06-02 20:00:30
18
user2108626710844
achamiramrope :
hakika ndy ukweli
2025-06-03 03:31:41
6
hanskado6
Matesta :
You are 100% right brother. Akili kubwa sana.
2025-06-03 07:57:53
8
amin.attai
amin.attai :
tafuta clip yake aliyoiongelea kuhusu uisilamu kukuwa kwa kasi duniani,akasisistiza wachukue hatua kukomesha janga ilo,kinachomsumbia gwajima ni mama ni muisilamu na anafanya vizuri,kila mkiristo anaejielewa anakiri tawala zote za kiisilamu maisha yanakuwa bora kwa kila mtu kuliko tawala za kikiristo
2025-06-20 15:32:09
9
user3319906862038
user3319906862038 :
sisi tunajua hili kitambo sana huyu gwaji ni zaidi ya shetani yaani huyu Mungu amlaani na ampeperushe atoweke milele kwa dua zetu maskini watanzania, Amin
2025-06-03 04:03:16
25
user2995277156034
gsb :
kaka mie nakushauri ingia kwenye dini ya uislamu.dini ya watu wanaojielewa na yenye ustaarabu wa kutosha.ukweli utabaki kuwa ukweli
2025-06-03 01:20:41
7
champ3gn
papi ✨ 👻 :
nmekuelewa sanaa kaka, awajamaa wanatumika na wazungu yani bunge la europe inatow six demands..ikiwepo ushiga kisa lisu.
2025-06-03 06:12:29
7
omy.fszz
omy.fszz :
brother factfact ..waambie hao vinabo
2025-06-02 19:38:14
7
kassimbory
kassimbory :
AKILI YANGU ANANIAMBIA "HUENDA MIONGONI MWA WANAOPINGA UTEKAJI KUNA WATEKAJI" WANATUZUGA, WANATEKA WATU KISHA WANAZUNGUMZA ILI IWE NGUMU KUAFUATILIA......WANASIASA KAMA GWAJIBOY SIO WA KUAMINI SANA...NI MAWAZO TU,SIO KWA UBAYA
2025-08-18 12:48:52
2
user4075077286181
Jew :
Yaani ukemee mauaji uonekane mbaya???
2025-07-14 13:29:32
3
azyaziza672
Azy Aziza :
kweli
2025-06-30 22:32:19
1
jjohnkamwela
Moncada :
Mmmh Bro. Gaddafi alifanya kila kitu kwa watu wake lakini walimgeuka wakamuua so be careful kile unachoongea .
2025-08-09 15:48:56
1
To see more videos from user @african_boy47, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About