@guthealthyclinic123: “Wengi wanaishi na acid reflux bila kujua. Dalili zake zinafanana sana na za matatizo ya moyo – kifua kubana, presha kupanda, moyo kwenda mbio, jasho, hofu… Lakini unapopimwa kila kitu kiko sawa. Bado hujapona kwa sababu tatizo siyo moyo – ni asidi inayopanda kwenye koo bila wewe kujua. Unahitaji suluhisho la kudumu, si kupima kila wiki!”#acid #acidrefrux #Detox #Constipation #DawaYaAsidi #MatibabuYaAsili #

HEALTHYCLINIC DR Simon
HEALTHYCLINIC DR Simon
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 June 2025 05:44:15 GMT
4655
49
6
2

Music

Download

Comments

princesnjeri
rayo :
mim
2025-06-03 16:15:44
0
guthealthyclinic123
HEALTHYCLINIC DR Simon :
poleeeeeee sana unahitaji usaidizi wa dactari????
2025-06-03 18:24:48
0
mamadera008
Nyahome🥰 :
moyoo ina gongaa sanaaa. na sina presaa na mkojo inatoka sina break 😭😭😭😭
2025-06-04 16:28:04
0
mwari.carolyne
mwari carolyne :
tuko wengi jamani MUNGU atusadie
2025-06-04 18:41:51
0
To see more videos from user @guthealthyclinic123, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About