@herbalistmedical: Mti wa mgunga ni mti wenye faida ya nyingi katika upande wa tiba asili na maradhi mbali mbali. #zanzibartiktok #AfricanSports #AfricanSports #viral_video #didyouyawn #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #views #tiktokkenya🇰🇪 #pfypシ #pfypシ #fyppppppppppppppppppppppppppppppppppp #tiktoktanzania🇹🇿 #drccongo🇨🇩🙌🏾 #froryoupage #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #AfricanMovies #fyp #tibaasili #tibaasili

Herbalist Medical
Herbalist Medical
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 June 2025 07:33:16 GMT
275404
5924
257
1953

Music

Download

Comments

phili.001
Phili 001 :
dokta,naomba dawa ya uzazi, yaani ndoa isiyo kua na watoto
2025-06-07 05:02:55
5
kamau0018
kamau :
Hii ni Acacia tree?
2025-07-03 19:14:22
3
mohammedhamza_0
mohammedhamza177 :
Mimi nina matatizo sana ya fungus inatumiwaje?
2025-06-03 21:16:29
6
binthassannoro
j.. wix product :
naujua nyumban ukiwa na kifua unakohoa unaenda kuchukua unaloweka unakunywa sikutatu kikohoz kimelainika naumeanza kupona kabisa
2025-06-19 02:51:08
4
salamashewedi1
user45348807668356 Shesally :
watoto wengi hutokwa na nyama za pua au koo na kushindwa kupumua vizuri halii hupelekea kufanyiwa upasuaji dawa gani wapewe
2025-06-22 13:32:04
2
shariffu20
shariffu shariffu :
doctor huo mti hua una .izizi mikubwa je tuna chuna magome yake au mzizi mzima
2025-06-30 18:07:25
2
neyma.paul
Neyma Paul :
dokta mimi shida yangu ni gesi tumboni nisaidie
2025-06-17 08:36:56
4
nourine.wayongo
mamake prince's :
mimi nikienda haja kubwa natokwa na damu mingi sana shida ni nini
2025-06-06 18:14:20
2
najmamgallah869
Najma Mgallah :
mmmh huo mwiba ukikuchoma itatubu, unaitw siyonga
2025-06-04 18:32:25
4
sellahmsangu
memory siwakwe :
Asante bro nina uti god bless you in all ways.
2025-06-20 04:33:42
2
irean2216
reen miles :
unatumiaje hiyo dawa
2025-07-08 10:42:01
2
user2057339961022
saidswed :
dugu tusaidiye dawa yakifafa
2025-06-06 12:30:41
3
zam.zam.adesh
Zam Zam adesh :
Kuna mzee alinisaidia nikiwa na shida ya uzazi kutoka na sitawahi sahau ata kidogo
2025-06-18 06:37:28
0
user9569337299334
mburukenge mweusi :
je ni mizizi au machani
2025-06-23 20:03:24
2
user982175796
RAJABU GIA :
matumiz yake je
2025-07-12 21:21:02
2
user659434319865
LOVEJAY :
kumbe mcongoma ndio mgungaaa ila lugha dah
2025-07-01 15:07:20
1
jinizombie
mr tea bags :
Jamani akuna tiba ya miti shamba pasipo changanya miti , mti moja ahuwezi tibu bila mchanganyiko wa mti na mti
2025-06-04 00:40:38
3
user6185593807602
otit💯 :
Asanti sana
2025-06-23 21:27:24
3
eugeniokaburuluke
Eugenio Kaburu luke :
poa sana
2025-06-08 07:42:57
2
nemajafali1
nemajafali :
una chemsha au una twangwa
2025-07-04 08:49:59
1
nassormohd552
Nassor moh'd :
nahotaj matumiz ya mginga
2025-07-16 19:19:07
1
user5198063057766
Tate :
Yes bro, hata asali inayotokea kwenye maua ya mgunga inafaida nyingi kwenye tiba haswa kifua nk.
2025-06-04 03:09:31
3
user9286745813726
user9286745813726aine :
unatumiaje
2025-07-02 17:32:56
1
user1228277451163
Eliza :
unatumia je sasa
2025-07-03 21:25:57
1
user2585115179294
usehr2585115179294 :
hivi nikweli unatibu pumu ?
2025-06-07 18:52:59
2
To see more videos from user @herbalistmedical, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About