@niffer_cosmetics: MSHINDWE NYIEEEEE GAUNI ZIPO DUKANI Song by @officialzuchu KHANGA YAKE TUNAYO NA TUNATAMBA NAYO

Niffer_cosmetics
Niffer_cosmetics
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 June 2025 19:18:19 GMT
709872
23152
569
789

Music

Download

Comments

vumiliajohn116
Vumilia John :
Mama wakucharukia mambo😂
2025-06-04 19:23:11
188
princessanita149
🇰🇪Blessing Baby💓🇩🇪 :
😂😂😂Atlist wagirima washafika Tz🤣🤣🤣
2025-06-05 06:47:16
64
pretty.jasmin71
Pretty Jasmin :
bac apo kanga zimepanda bei🤣
2025-06-04 19:55:40
49
teecosmetic1
TEE COSMETIC♥️ :
Kelele za chura zisikuzuwie kunywa maji niffer wangu.. biashara akili na ww unazo pambana km unavopambana niffer 🥰
2025-06-05 03:47:50
71
cute.....ray
cute........Ray💖💖💖💖 :
izo ni zakitamaduni yetu twaendea shamba😂😂😂
2025-06-05 00:17:48
1
directorsabi
directorsabi :
dada mbona mnajili nyiy tu wadda kwani izo kanag haiwezi kuwa pesi kali au suti flan ivii tuangalie na ssi masela tunakubal zuch
2025-06-05 06:13:09
24
abigaili21
Ney fundi :
Naomba kujua jinsi ya kuweka iyo shingo ya kwanza
2025-09-10 12:02:17
0
philomena.lusasi
Se_Lusasi..❤️👌 :
hila niffer una balaaa wew nd mfanyabishara sasa makofi kwako👏👏🙌❤️
2025-06-04 19:50:45
75
user51070502261618
aisha athumani :
ila niffer hushindwi kitu unaupeo mkubwa sana kwenye akilli yako nimekupenda bure unaakili ya biashara sana
2025-06-05 06:24:19
50
neema.michael14
Neema Michael :
kiuno kigum kama maisha yangu
2025-06-05 07:23:46
5
queen_rose641
👑QUEEN _ROSE🌸 :
Niffer hiyo nywele Naomba maelekezo
2025-06-05 06:57:41
5
dangerousmindzaz
🥰 :
kenya mny ngapi
2025-06-04 23:03:38
2
ida.mseba
Said-i7 :
Kasharuka na brand 😂
2025-06-05 05:49:25
42
angelthobias435
angelthobias435 :
🤣🤣🤣 zuchu nyota yake ina waka sana kina anacho kishika kina kuwa dhahabu hizo kanga zipo toka kitambo ila huumwaka kiramtu atavaa
2025-06-05 05:01:38
11
marykiarie2030
mary kiarie :
oneni leso za wagiriama zinashonwa gauni tz,,,!eti hatuna kitu ya kujifunza kutoka Kenya wakati hizi ndizo gauni zao 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-06-05 07:48:08
8
rabiachumo55
rabiachumo55 :
Watu washachangamkia fursa🤣🤣
2025-06-04 19:39:49
8
mayumiynishad
Mayumiy Nishad🌺🌺 :
usikute iyo nguo laki na nusu😂😂😂😂
2025-06-05 06:18:26
0
user7314626028367
user7314626028367 :
nakupenda dada nguu
2025-07-03 16:33:39
1
jnaalexsung
ma v&D :
inauzwa shingap
2025-06-10 09:17:02
1
665242llene.samwel
665242llene samwely :
nakupendaga sana dada yangu nasula yako kama tofali hadi laha nakupenda bule🥰🥰
2025-06-06 20:01:29
1
user5221337872305
Néema Kitambala@ :
umepeteza Masha Allah
2025-06-05 03:36:58
1
sweetybaby475
@Pendova🎀🦋 :
mbn hizo gaun tulishonag mda sana😅😅😅😅😅😅
2025-06-05 05:12:28
3
rubnamohammedy
rubnamohammedy :
Alafuu hii kanga jinalake TAMU YA MUA KIFUNDO au nimekosea wadau😂😂🙌
2025-06-05 06:07:56
3
whataretherules1
love :
Huyu dada anaakili Sana 🥰🥰🥰
2025-06-05 06:24:14
2
mrsmoney045
ishazy🥰🥰🥰 :
kisa kanga alijifunika zuchu🤣🤣🤣haya nguo kama yauyu dada ipo dukani milion2 na laki1 karibun zipo chache
2025-06-05 03:31:54
1
To see more videos from user @niffer_cosmetics, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About