Wewe ndo utachagua ukae mpaka kifo kikutenganishe au ujitenge kabla ya kifo🤣🤣
2025-06-05 21:19:30
82
mimah 🫦🫦👄 :
ukipata nafasi ya kuwa singo usiichezee hiyo bahati
2025-06-06 05:51:02
47
shemina27 :
jitaidi kabla aujaolewa uwe namioyo miwili mmoja wazaada mmoja wakwako usiseme atujasema
2025-06-07 16:37:23
0
boniface :
khali ya ndoa ni nzuri mwanaume ni kama mtoto utakavomuweka ndo atakuaaa hivo hivo
2025-06-07 12:20:21
0
Elizabeth Adam :
mfahamu vzur mwenzio na familia yake hasa malezi malezi ndio huharibu ndoa kama mtu alizoea kumuona baba analala nje ataona swala la kawaida tu na tabia nyingine 🥺
2025-06-13 07:42:41
0
KIDOTY luxe👜🛍️💸💵💰 :
😂Una malz mwezi hupewi lkn mwanaume wako njee kila siku Ana ichapa na gest nzuri Ana zijua Tena za garama sn 😅
2025-06-05 20:15:26
27
Mrs BM🌹 :
huku raha sana kipenzi karbu san kweny cham faid ya kwnz.. unapata wa kupiga nae umbeya yaan kuna raha yake jmn 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-06-06 04:51:41
26
leonia kanuty :
kua single tu dad tafta ela yako ndo ingie kwenye ndoa bila hivo kita kulamba kitu
2025-06-05 17:48:59
18
lucialeonard2gmail.com :
ndoa haina tuition haina mazoe hain akili mingi ishi vile unaona n sawa bila kumkosea MUNGU
2025-06-06 08:21:54
16
Zamsa :
ushaur wang olewa na mwanamm anayekupend ww san na sio unayempend shog kitakuramb 😂😂
2025-06-06 12:53:58
9
bievenue :
si mbaya ila,hakikisha,unakipato chako kama,unategemea mume usiingie vibaya,Sanaa wengi tunakaa kwaajili ya umaskini,tuu hakuna mapenzi tuko kama watumwa tuu ilaa tungekuwaa na pesa sijui,kama angekaa mtuu
2025-06-08 07:17:36
9
Bi mzuri❤ :
uje na moyo wa ziada😂😂
2025-06-06 11:38:31
8
mamalishewakishua :
Huku kuzuri utachagua wewe ubaya au ubwela 😂😂😂
2025-06-05 11:35:01
8
ma mzuri ♥️💯💕🎀M.. :
tafuta pesa ndugu usisubutu 😭😭😭
2025-06-06 04:48:25
7
Asnah🦋 :
ni moto juu ya moto hasa mmoja akiwa msaliti😭😭😭
2025-06-05 15:08:49
6
hildamakuta :
Ndoa ni nzuri sana Mungu akiwa ndo kila kitu kwenu utaifurahia ndoa.
2025-06-06 17:44:38
6
iTeach Swahili :
Sijaoa lakini naamini sana juu ya NDOA NJEMA. Christian home🥰, christian happy Marriage. Nina mtazamo chanya juu ya hilo kwa sababu Mungu anaishi ndani yangu na atanipatia kila lililojema kwa wakati wake😊. Tunaoamini juu ya NDOA njema, gonga like nasema AMEN😊. Mtazamo mwema huzaa Energy njema.
2025-06-10 08:11:50
6
Husna🧚♂️ :
Usije huku mchepuko ndo anakutreat kuliko mume😂
2025-06-06 04:28:25
6
Rachely :
Aiseee mnanitisha jaman mwez wa 10 harusi yangu jmn😭😭😭
2025-06-06 08:05:50
5
tumangullo✨💞🦋 :
utaweza kumpikia mtu anae ludi kesho kutwa??🤣🤣🤣
2025-06-06 07:29:42
5
neema :
ndoa nzur lkn ndoa mbaya kikubwa uvumilivu lkn mm uvumiliv ulinishinda ila ndoa siyo mbay
2025-06-05 17:41:02
4
dee chillu🦋🦋 :
mara una wakaaa eeeeeenh nara unazima ,,unawak unazima ,unawak unazimaaaaaaaaaaa😅
2025-06-06 09:05:00
4
Besteleven21 :
Ewe kijana huu mtihani kila mtu na wakwake usiibie kwa mtu Majibu
2025-06-06 17:45:13
3
Queen d🦋🌹 :
jichanganyen mtaria kuloko watoto wenu mtakao zaaa🤔😅😂
2025-06-05 20:39:31
3
lenatta :
iko shwaaari 👌 kama kajua ka saa moja asubuhi muhimu upate aliye sahihi mm naenjoy mwaka wa saba sasa yaan utadhani tumetoka kufunga ndoa leo 💃
2025-06-06 19:10:24
3
ashfaathumani :
niwewe ndo unachagua hali yako ya ndoa ila ndoa sio mbaya kumfatilia mwanaume kupita kias iyo ndo mbaya unageuka kua kero na anakuchoka mapema
2025-06-06 09:13:03
3
Mama Zahra ❤️🍼 :
Kwangu me shwali karbu uenjoy mema ya nchi 😅
2025-06-06 12:56:06
2
Madam Neeli 🦋 :
ni nzuri kubwa umpate munaeendana tu
2025-06-06 20:43:49
2
Reby♌️ :
jiwek tyr Kwa Kila kitu😂 Kuna muda wa furaha piaa hivo hivo Kuna wakati wa kutoelewan... uvumiliv na kusameh tu mengine ziad sana
2025-06-06 07:02:01
2
kim-eshear :
kila shetani na mmbuyu wake wewe utam wa ngoma ingia uchezee ilaaaaa ni kutam😂
2025-06-06 06:59:06
2
Officially Emmy ♒🏺 💕💕 :
Raha ya milele akupe ee bwana na mwanga Wa milele ukuangazie ee Binti🤗
2025-06-07 08:24:23
2
CAREEN :
Ndoa ni nzuri ukiolewa na mtu sahihi kwako🙏🏻
2025-06-07 06:02:00
2
tinashe_kinabo :
Ushauri wangu kwa wadada jitahidi Sana kabla ya kuingia kwenye ndoa uwe na kazi yako au biashara yako itakusaidia Sana kuliko kuingia kwenye ndoa hauna kazi au biashara itakutesa Sana utapitia mengi plus na dharau nyingi sanaah📌📌📌
2025-06-07 18:55:09
2
Rahma :
ndoa ni nzuri pale unapo juwa ww ni mwanamke na mwanaume ni nani kwako, mitihani ipo ila ukipiga goti mungu hata nyamaza
2025-06-06 19:34:12
2
mimi :
kitu nimejifunza ndoa sio mbaya ila anae kuoa ndo hukuletea uzur au ubaya wa ndoa yko
2025-06-07 10:13:32
2
Madam Happiness Bana :
kabla hujaolewa hakikisha kwanza unaye mtu wa akiba🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️
ndoa raha kam mtakutana wote mna malengo yanayofanana pia ukipata mtu mzuri mdada unaacha kiburi mhudumie ipasavyo,msamaha uwe karibu na mdomo wqko
2025-06-07 08:42:53
1
user3504082511985D2 :
it depends na aliye kuoa
2025-06-06 12:00:39
1
apple_green10🍏 :
Kwangu mm nasema hv ndoa n nzr ten nzr mno Ila mm ndosikupt my sahih
2025-06-13 13:43:27
1
myG :
Nikikumbuka mchepuko wa mume wangu aliniambia sijapewa limit ya kupiga simu napiga muda nmejisikia nililia sana mpaka Leo sina hamu na ndoa ntakufa Nikiwa single 😏
2025-06-06 20:00:12
1
MO MONEY🥰💙💕💞 :
ndoa ni tamu kama kila mtu atapata haki zake za msingi alafu ndo ni chungu kama mmj wapo akikosa haki za msingi,
Ndoa pia ni furaha na maumivu
2025-06-06 12:18:01
1
@Lizy perfumes✨🥰 :
🥰🥰🥰
2025-06-05 13:46:25
1
To see more videos from user @bettersweet100, please go to the Tikwm
homepage.