@joslinndek2: 🌿 "Lishe sahihi siyo adhabu, ni zawadi kwa mwili wako!" 🌿 🥑 Parachichi kwa afya ya moyo 🥒 Tango kwa kuondoa sumu mwilini 🍳 Mayai kwa protini safi na nishati ya asubuhi 👉 Kula kwa nidhamu ni njia ya kujiheshimu 💪 #Joslinndek2 #HealthyLifestyle #LisheBora #DisciplineInEating #WellnessJourney #KulaKwaMpango
Tangu nimeanza kula kwa nidhamu nimekua na furaha🥰#happylife
2025-09-04 15:30:06
0
Ms_Mworiah💫🦋 :
maembe na ndizi hayaruhusiwi🤔
2025-06-29 17:13:35
1
janekaruma :
na mkate juu😃😄
2025-07-05 14:57:30
0
Nima-Enisa💕💓 :
ukitumia Prestige kukaangia hayo mayai ni sawa au haifai love
2025-08-02 06:41:31
0
Monica Ndaji :
Sawa rafiki usituchoke tutakuelewa tuu na
2025-06-07 05:25:42
1
basuka msekwa :
haya mayai umekaanga na mafuta ama?
2026-07-22 09:22:58
0
Alpha :
vipi mafuta ya alizeti yanafaa?
2025-07-24 16:57:23
0
veronicatozz :
ngoja nikufoll labda ntaacha uroho😅
2025-07-04 13:06:10
0
felly :
nimekula milo miwili kwa siku na kula visivyo na wanga na sukari nikaanza kuumwa tumbo kwenda hospital nikaambiwa sili kwa wakati nina dalili ya vidonda vya tumbo
2025-07-24 08:19:14
0
Ali Chikate :
Mayai unakaanga kutumia mafuta gani?
2025-06-17 17:42:37
0
Makifu shekifu :
HAYO MAYAI NI MANGAPI.
2025-07-06 23:08:17
0
TUMAINI🌹 :
mafuta mazuri ya kutumia kupikia ni yapi
2025-07-01 09:24:06
0
Lilian Laizer :
kiazi Cha kuchemsha na nyama auu
2025-08-28 18:13:20
0
Mahat Somane :
Kwani avocado na mayai pia ni chakula
2025-07-14 02:49:12
0
Zuu_outfit_tz :
Muuza mayai pls na muuza palachichi
2025-07-11 10:33:12
0
amy❤️ :
dada lost la viaz mbatata linafaa
2025-08-17 09:48:37
0
marymellah❤️🫶 :
natamani kupungua Na nanyonyesha mtoto miezi Saba jaman nawezaje
2025-07-12 05:21:26
0
Mam :
Haya mayai ya njano dar mnayatoa wapi jamani 🥹
2025-07-18 09:49:09
1
iptysam aziz :
Joslin mi mbona nikila parachichi nanenepa tumbo
2025-06-27 09:54:04
0
Tedy.225 :
kipenz maharage ni mazur kwa mtu anaetak kupungua maan leo nimekula naogopa why nimekula
2025-06-27 09:38:02
0
To see more videos from user @joslinndek2, please go to the Tikwm
homepage.