Kwahiyo machoz ni lazima yaan namaanisha n lazima kulia?!😎
2025-06-08 23:22:26
12
Luo Girldem ke :
zaburi in English ni verse gany please 🙏
2025-07-02 20:52:23
24
Mom A2 💕 :
ni kwel nilikuwa naamka kuomba ndani ya week mmoja nimejibiwa,jmn Mungu yupo nina ushuhuda kabisa
2025-06-11 19:35:25
436
Diana🤍💙 :
Nimechoka nimekata tamaa kabisa kuna mda naona waliokufa wamepumzika😭😭😭😭😭😭😭
2025-06-09 05:48:36
77
💊💊💉💉 :
timing nimweka alarm i will come with testimony
2025-06-09 19:24:58
12
mamy caty :
hakika nimeamin maombi ya usiku yana nguvu niliomba mwaka huu Mungu abariki mashamba yangu kayabariki kwel bado ombi moja nimalize made naamin Mungu atatenda
2025-06-08 03:27:25
19
double dy :
maumivu ni makali ila naamini MUNGU atanivushaaa
2025-06-10 19:35:55
43
ms__fortune :
dear kidogo umenitia moyo jmn nimekat tamaa kuna muda naic kama mungu hayupo jmn mambo ni magumu Mno 😭
2025-06-09 22:50:58
29
Mrs G🥰 :
Kalibuni kwenye group letu la maombi ya saa nane uck hadi saa kumi kwa Mchungaji Samweli wa tatu andika jina lake ujiunge nasi tuombee
2025-07-17 07:57:26
11
loveloveness221 :
Asante umefanya niingie kwenye maombi wakati nilikata tamaa kwa kipindi kirefu bt hi post imerejesha roho ya kuomba 🙏
2025-06-08 18:52:11
14
Jennifer Julius :
😭😭😭😭 nyie Nina 21 TU miaka lakin ninachangamoto za mtu wa miaka tisin mungu nitie nguv Sion kwa kutoka Wala kuingilia kutegemewa ni frah katka family lakn uwe unajuwa kwa kutoka sasa mm
2025-07-24 12:52:37
17
mimah 🫦🫦👄 :
maombi ya usiku yananguvu vipenzi ukichanganya na kufunga 7 usipojibiwa basi tena,Mungu hawai wala hachelewi utajibiwa tu kwa imani🙏
2025-06-10 09:02:16
12
Patty :
Ni Mungu anaejibu kwa majira na nyakati sahihi😭
2025-06-07 04:59:15
10
champion♥️*lly :
🥹 machoz n dawa lia uku unamuelez Mungu unayoptia alaf zid kupambn never give up☺️
2025-06-09 20:33:22
12
Victoria Sanga :
Yesu nisaidie, rejesha kiu ya kusoma neno, kuomba maombi ya dhabihu
2025-07-24 18:49:02
7
Marry Elias :
huwezi amini nimeshika biblia nimekuta zab ya 17 wakati nilikua nimefunua za 23 baada ya maombi asubuhi... Ameeen.
2025-06-10 14:26:50
6
Furaha Kaikombo :
amen hii mida ya saa 9 uck imenirudishia vitu vilivyokua vimeshindikana kwa wanadamuu mungu amenijb 🙏
2025-06-08 17:00:14
5
essy_officially♥️🎀 :
Me na weza angalia post tu nakuta moyo wangu unauma sana machozi yananitokaa tu imefika maaala hata kusali kumekuwa kugumu kwangu nashindwa mimi🥺🥺🥺
2025-06-09 20:34:30
6
Lizzyoutfit🛍️❤️🎊 :
Zaburi 17:1 Ee Bwana, usikie haki, ukisikilize kilio changu, Utege sikio lako kwa maombi yangu, Yasiyotoka katika midomo ya hila.🙏
2025-06-15 20:37:09
8
Sam🙌😬 :
Amin
2025-06-08 05:46:49
7
🅰️NNEY ESSENCE WEAR👗🛍️ :
Say Amen🙏
2025-06-06 17:27:04
6
habibty❤️🩹 :
amino
2026-08-21 04:00:25
1
irenetairo :
nina miaka 20 lakin napitia magumu adi nahis kukataa tamaa 😭😭😭🙌
2026-08-16 17:21:04
2
user5848803739876 :
🙏 🙏 🙏 AMEN
2025-12-09 19:19:40
1
Avelisse❤ :
Amen
2025-07-01 16:36:40
1
To see more videos from user @annie_anney, please go to the Tikwm
homepage.