@life_peak_media: Wengine huchagua meza za dhahabu, yeye aliketi meza ya mbao mtaani #Magufuli #PombeMagufuli #RaisWaWatu #TanzaniaYetu #MagufuliLegacy #KiongoziWaMfano #AfrikaInalia #HistoriaHai #MtaaniNaMagufuli #TanzaniaKwanza #Tupendane #KwaAjiliYaWanyonge #LeadershipGoals #MwalimuMagufuli #MzawaWaWatu #RaisWaVitendo #LegacyLivesOn #KahawaNaWananchi #UnyenyekevuWaUongozi #KiongoziAsiyesahaulika#creatorsearchinsights
life_peak_media
Region: TZ
Saturday 07 June 2025 06:11:27 GMT
Music
Download
Comments
Prosper msigalaprosper957@gmai :
samia hata kahawa atatapika
2025-06-07 14:10:26
15
Kev machala :
imagine unamuuzia raisi kahawa
2025-06-07 15:04:54
81
Lisalicious_de_cris 😚 :
Mungu alietupa wewe... atupe mwingne ☺️☺️Amen
2025-06-07 14:03:49
224
cyrus kioko :
Tanzanians will remember this leader for the rest of their lives.
2025-06-07 16:32:03
67
Rass :
Rest well magufuli we Lost a Great president 😭😭😭😭😭
2025-06-07 10:19:05
10
Mima Said :
Huyu jamaa Mungu amsamehe tu makosa yake 😭😭😭 mtu wa watu alikua maskini kaondoka mapema sana.
2025-06-07 15:10:06
93
ellytiktok.com/@ellymalabeja :
magufuli alikuwa mtu watofauti kweli
2025-06-07 07:22:16
69
shukuru :
we ndo rais tutakukumbuka
2025-06-07 08:17:33
57
Innoss :
hahaha eti mbona hujazii
2025-06-10 18:28:30
12
Nasha Eli :
Lakn alisemaga tutamkumbuka kwa mazuri yakee
2025-06-13 09:18:46
6
Lady :
Paka machoz jmn 😭
2025-06-08 07:50:30
17
al jaballain :
jamani maguu alikuwa ni baba kweli kwa kila mtanzania
2025-06-07 06:43:45
48
Jonny :
yeye alikua mtumishi wa watanzania hakua mtawala wa watanzania 💯💯💯🙏🥺
2025-06-07 10:01:39
29
ndidiraiz :
Muumba amsamehe tu makosa yake yote jmn dah
2025-06-07 17:43:43
9
𝒅𝒓𝑱𝒖𝒔𝒕𝒊𝒏 𝒅𝒆𝒗𝒊𝒔tz :
Niongeze tangawizii bhanaa, mbonaa hujaziiii...😄😄
2025-06-07 10:02:42
54
vassy :
Alikua rahis mteule.💯✔️
2025-06-07 07:24:18
13
user2938375772638 :
we baba pumzika salama tu huko ulipo hatuna tunachokudai huku 🙏🙏🙏😭😭😭😭
2025-06-08 07:01:05
5
isra.lisa1 :
Duh kama yupo
2025-06-11 14:59:31
5
joseba kavalambi :
nashindwa kuzuia machozi uwii
2025-06-10 06:49:19
19
Joan -Collections :
Nimeirudia kuingalia hii video zaid ya mala kumi 😪😪,kwa kipindi hiki huruma iko wapi, upendo uko wapi ndugu zangu😪😪😪, Mungu ibariki Tanzania🙏🙏
2025-06-12 05:49:36
10
alexvicent@123456789qwertyuia :
we love u so much our president JMP god bless you rais wetu tumekumic sn
2025-06-13 03:14:27
5
Yona Mwakabona :
kitu kizuri huwa akidum.
2025-06-08 17:31:31
8
track ditel🌻🌻 :
eti niongeze tangawiz dah baba wee
2025-06-07 13:33:29
11
Mussa Makali :
kila nikiona matukio yake hua natoa machozi
2025-06-07 09:40:44
10
Irene Tairo :
nataman uzaliwe mara ya pili uje ukawe raisi wa wajukuu zangu kipindi hicho na mim nasubiria kuzaliwa mara ya pili😂🥰🥰🥰
2025-06-12 09:26:51
9
To see more videos from user @life_peak_media, please go to the Tikwm
homepage.