@ndineaveiro: #🔥🐙_hiểu_dĩnh🍀🐾 kanzu vibes#tiktoktanzania🇹🇿

NDINE👌
NDINE👌
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 June 2025 08:08:22 GMT
271258
10600
401
407

Music

Download

Comments

12345ommy
ommy🥂🍻🍺 :
kubababakeeeee nimwendo wa uchizi2 adi CCM itoke madarakani😂😂😂😂
2025-06-08 14:54:00
36
lubawa.jr.17
Marcos rojo wa tz :
ifike muda mashekh waliongelee hili vazi la kanzu maana vijana wanalitumia vibaya
2025-06-08 12:17:15
51
morning.star6116
MORNING STAR⭐⭐⭐ :
Nani anamzingatia huyo mwenye kanzu nyeus
2025-06-08 17:19:44
14
rashidmaulid843
man_chidy15. :
sema huyo dogo aliekuja mwishoni akafumba macho MIYEYUSHO SANAA😂😂
2025-06-09 11:48:35
11
mwaijabaruti218
mwaija baruti :
hapo sio pua zote zimeinamia chin ni iyo ni pumbu zote zimeinamia chin zinakula dansa
2025-06-08 11:31:34
8
user8571711181054
Thobby swaggs :
Mmoja kafanana na mpigania uhuru wa sudan kusin..🤣🤣
2025-06-10 11:01:50
7
savavagezai
💐@Zai Savage(ZH) :
kuna masikio nimeyapenda
2025-06-08 21:22:10
2
user9499802521328
ashanth :
kwaheshima kaka
2025-06-08 09:01:16
6
khairaty977
khairaty dizigo🥰🥰🥰 :
😂😂😂😂😂 njooni mnifuate na mm
2025-08-08 22:47:13
1
challay750
@Challay :
MCFIKIR HIKO NI KIMINI HAPANA NI VAZI LA DIN YAPASWA KUHESHIMIWA NA HALAF MCTAFUTE USTAA KWA KUHARIB VAZ LA DIN
2025-06-10 18:31:22
6
genette566
𝕲𝖊𝖓𝖊𝖙𝖙𝖊🦋🥰 :
Watoto wakigambon kwa heshima🙋
2025-06-08 10:45:55
5
abdallah_juma25
Abdallah :
unajuwa niwambiye tu ukweli wanaume wa dah bahazi awana akili nikama mashoga nandiyo maana mashoga niwengi dah agaliya wanahic nivijora agaliya
2025-06-21 18:49:09
1
iconic_diaries96
VibewithBlackicon :
mwana wa kanzu nyeusi nakubali chafu😂
2025-06-14 06:44:24
2
user57200261452364
monster12 :
😄😄😄😄 mzuka wa k vant
2025-06-12 16:01:32
3
willymwakasonda
Willy :
kanzu sio uislam, bali uislam upo katika akili na moyo
2025-06-12 15:32:45
4
happy.japheth78
Happy Japheth :
niiitien mwenye nyeus uyo
2025-07-15 16:23:18
2
user8881949185290
James :
Sema Dj anajua sana
2025-06-13 04:41:11
2
leen.amkoe
Dar lynn :
na msifunze mtoto iyo tabia🤣🤣
2025-06-16 11:14:25
1
nebuye5
nebuye :
WALIO ONA K VAA WA GONGE LIKE 😁😁😁😁😁
2025-06-09 20:22:24
9
002offcialtemper
002offcialtemper :
unyama 💯💯
2025-06-17 14:09:44
1
1sumaiyah
sumaiya :
kumbe ako ka k vant ndo kanawapa ilo vibe na mie ntaonja ckubali🙄
2025-06-11 17:37:44
3
zarmenda0
zarmenda :
akuna aliepoa wote🔥🔥🥰🥰🥰
2025-06-08 17:34:08
3
user3674967198072mamu
mamush :
subhana
2025-06-12 19:27:56
1
nairaty.og
Nairaty Og :
mwanzo nikajua vidufu? 😂😂😂
2025-06-09 15:36:20
3
mniachi
mercy :
tisha sanaa🤣🤣
2025-06-09 17:27:15
3
To see more videos from user @ndineaveiro, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About