@neemakaniki14:

Neema kaniki
Neema kaniki
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 June 2025 10:49:03 GMT
268714
14628
330
2260

Music

Download

Comments

lujegi23
lujegi@23 :
Omba sana uwepo wa Mungu usiondoke maisha Yako na katika Hali zote
2025-06-08 13:40:32
77
ladislausthobal
Ladislaus Thobal :
muombe mungu aondoe roho ya chuma ulete kwenye biashara yako
2025-06-09 17:23:44
19
user81820833491306
NDUBE.com :
mungu anatupenda mno hakika najisikia
2025-08-15 16:19:36
0
esthervikoi
Esther vikoi :
Kuombea mikono yako kila unachoshika kikauzike kwa haraka
2025-06-09 18:07:29
45
dr_melanin_
Dr Sarah :
9. Omba MUNGU akutofautishe. Auntenticity👌🏾 10. Omba MUNGU usiwe na kiburi ukifika unapotamani kufika.
2025-06-08 11:49:37
36
herrystoretz
HERRY STORE :
Ombea mikono yako isitapanye fedha unayoipata🙏
2025-06-08 20:20:55
25
tinahvenance
tinahvenance :
tuombee mikono yetu kila tunachoshika ambacho nichakwetu kisipotee bure
2025-06-26 12:52:15
31
edsondaughter29
Sally🥀🍒 :
Tuongezewe Iman wakati MUNGU akikawia kutujibu maombi yetu tusife moyo tujue yuko na kusudi labda kwa wakati huo anaona sio wakati wake ⏰️
2025-06-09 14:16:59
45
witness0817
Witness :
Mungu nifungulie milango ya biashara
2025-07-13 14:49:46
0
user24868000841940
Jennifer :
amen
2025-07-27 11:47:31
0
mirri112
user2438776796484 Miriam sanga :
tuombe na rehema na neema kwenye biashara zetu
2025-06-09 11:19:28
11
tressmassawe
@Tressmassawe :
kukesha na maombi ya sa 9 usiku
2025-06-08 21:58:34
1
user1606320551309
vanny deee :
naomba ntumie
2025-08-11 20:56:35
0
mamap2021
Mama P since2021🧠🥰 :
tuombe hekima na busara ya kuwajibu wateja😞
2025-06-09 14:29:11
6
mamag4068
mamaG :
Mungu aondoe roho za chuma ulete kwenye biashara pia Mungu atupe nidhamu ya matumizi ya fedha
2025-06-10 14:03:16
10
user7210228081494
sarah@54 :
eh mungu naomba kibali machini mwa watu
2025-07-23 18:07:45
2
user1234952438540
ney :
saw dear tunaihitaji kumjua mungu zaidi,natumpende
2025-06-09 04:37:39
15
jeacep
🎀jeacey officially ✌ :
ombea jina lako na ombea afya yko
2025-06-08 17:56:26
6
miss.p.de.clean
Miss p de clean📌🩷 :
Amen
2025-08-06 07:05:12
0
holloy33g
💕💞holloy :
omba mungu afunike biashara yako kwa damu ya yesu
2025-06-09 15:40:50
7
setnahshirima
setnah shrima🥰 :
thankx be blessed dear
2025-06-10 05:10:13
5
user486133684511
D :
uwepo wake Mungu usiondoke maisha mwangu
2025-06-09 04:27:48
6
salha.fadhili
jasmine the Boss lady :
kabla yakufungua duka lako anza na maombi takasa frem yako omba kibali kwa bidhaa zako then subir wateja🙏💯
2025-06-14 19:55:31
1
user430476841730
jack line joseph :
omba kibali mbele za mungu hekima n busara
2025-07-06 16:48:27
1
littlewolf670
Tanzanite_wolfgangmchaga :
umetuzuia kusave dear tunalike tuu
2025-06-08 16:17:08
3
To see more videos from user @neemakaniki14, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About