@melodies_tamuu_lyrics: DIAMOND X BIEN... Joto lije nitakupepea,,,#melodiestamu #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktok #diamondplatnumz ft #bien @Diamond Platnumz @Bien-Aime Baraza #newsong challenge KATAM by Diamond Platnumz ft Bien
MELODIES TAMU 😍
Region: KE
Sunday 08 June 2025 22:14:03 GMT
Music
Download
Comments
phoebe2_jason :
Bora amesema Akili ni ya Kenya😂😂ngoma ni kali😅
2025-06-09 05:45:27
356
DENNIS KOECH🇰🇪🇨🇦 :
kuna vyenye mtu anaenza sikiliza io part ya Bien pekeyake??
2025-06-09 16:07:25
48
SKiiZA :
who else just felt love with such a collabo. like the song just lifted our borders and felt one
2025-06-09 01:39:57
53
AlFreDO ☠️🥶 :
Akh nilakie hii akili y Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kama unsema kenya tuko n akili eka like tukisonga❤️❤️❤️💪💪
2025-06-09 05:47:18
152
Eve😍😘 :
watanzania mmesikia akili ni ya kenya...nyinyi tumewaachia utamu
2025-06-09 05:57:11
48
MELODIES TAMU 😍 :
Katam Lyrics diamond platnumz ft bien 🔥🔥🔥, ni noma sio?
2025-06-08 22:15:47
48
KALIII :
wakati wote akili ni ya kenya tu😂😂🤣
2025-06-09 05:08:24
73
🎗️ ARSENAL MISTRESS🏆🥇🇬🇧 :
hiyo part ya akili ni ya kenya inanifanya najisikia nikiwa the pilot,engineer yaani the doctor 🥰
2025-06-09 18:50:17
28
Sophie 😘😘 :
akili ni ya Kenya na ukiwa na akili hizo vitu zingine Zote umepata😅😅
2025-06-09 06:42:12
25
Ãm_Dëë♥️♥️♥️ :
I think the title should be'Akili ya Kenya🤔, who agrees with me ☝️
2025-06-09 18:38:10
5
EARTH 🌱 :
💃💃💃Kenyans with BRAINS💯
2025-06-09 12:54:55
7
Winsky ❤️ :
akili acha iwe ya kenya 😂😂😂😂❤❤❤wakupinga asimame eyiiiiii❤❤❤
2025-06-09 04:10:04
18
Realymarty :
akili ni ya kenya na anayepinga asimame😂🇰🇪🇰🇪
2025-06-09 08:34:10
15
janet onyango :
akili ni ya kenya anaepinga asimame eish bienn🔥🔥wameongeza kenyans kiburi🫡😂😂
2025-06-09 07:38:48
19
Laura💎🦋 :
not me waiting asitaje kenya nilete shida kwa streets😂💔
2025-06-09 06:23:45
5
Miles :
Akili ni ya Kenya
Mwenye anapinga asimame 😆😆
2025-06-09 01:46:38
11
G£n@r6️⃣ :
After kusema akili ni ya Kenya Bien amesema yule anayepinga asimame 😂😂😂
2025-06-09 10:07:21
8
CID NA KAYDEN💙 :
ati akili ni ya wapi🤣🤣🤣🤣
2025-06-09 05:05:40
8
Stella❤️ :
diamond ameamua hatumpumzishi,,, anyways much love from kenya
2025-06-09 04:23:39
8
Ka Nyota :
Sura ya Kinyarwanda😘 Icyumutwe
2025-06-09 11:43:19
2
super loyal. :
Borako akili ni zetu tutasakata rhumba
2025-06-10 15:45:06
3
samira salim :
akili ni ya kenya,wakenyaaaa hoyeeee semeni wantaaam 😂😂😂😂😂
2025-06-09 20:36:57
3
Queen Pinky🇰🇪🇦🇪🇧🇭🇦🇺 :
Hiii ngoma ni faya😂😂juu Akili ni ya Kenya
2025-06-09 08:04:42
3
mecar the boy :
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza
2025-06-12 13:54:58
1
To see more videos from user @melodies_tamuu_lyrics, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.