kwakwel usipojitoa akili saiv kutoboa ni ngumu guys😁
2025-06-09 17:24:01
49
~theyluv~pinky@🩷 :
Ilaaa😂😂😂😂
2025-06-09 13:25:53
5
calvincalvin2719 :
The real definition of content creater..💪💪
2025-06-09 17:10:59
7
it's_addeh :
Unarudi nyumbani boda anakudai mama ntilie anakudai unataman cjui ufanyeje unaeza ata ukaamguka njiani walah 🥹🥹alafu kuna mwenzio anafungua tuu hana mwezi unamuona anapark Range Rover njee 🙌🙌
2025-07-02 11:33:54
15
MBC FISH POINT 🐟🐬 :
Hii sio content🤣
2025-07-17 16:42:40
5
petty cosmeticstz :
tait niazime kesho nianze kazi
2025-06-09 14:40:15
11
Lucie ❤️🌸❤️🔥 :
Ila huyu anajua mpaka anajua tena☺️☺️☺️😂😂😂
2025-06-09 10:58:47
24
Tiffer Maubuyu :
Me mwenyew tu mkuje mniungishe tu ubuyu wa maembe,korosho na kashataaa😩❤️
2025-06-11 10:53:51
6
Gee-Swai💜🇹🇿 :
Hatimayee na mtandaoni ndo huku na akili umejitoa kweliii😂😂,@dompinyo🤝
2025-07-02 10:32:23
8
Rhoda has me :
unaweza ukaona anaigiza kumbe ndo uhalisia wa wafanya biashara unaweza ukaona dunia imesimama aisee,,💔
2025-07-17 13:18:32
5
DAXKENZO :
Mt bigwa kabisa😂😂😂
2025-06-09 15:38:04
5
MOVIE BOX :
Yan badala ya kuja wateja wanakuna TRA wananunua sindano ya 1000 usipotoa risit wakupge fain m2 😂😂😂
2025-07-29 12:31:44
5
nebacollection :
Ninayoyapitia now 🥺
2025-06-11 13:22:14
6
🥰❣️💞Vivian🫶💕 :
Biashara ni rahisi@ ukiwa unasimuliwa🤣🤣
2025-07-17 12:58:12
7
abi :
noma sana kaka dompyo
2026-05-28 06:56:52
1
Hafidhi Kazumali :
dompinyo
2026-07-01 13:47:48
1
Tammy Tallenty :
Ila we jauu😂😂😂
2026-02-28 13:07:34
1
𝙵𝚞𝚛𝚊𝚑𝚒𝚗𝚒 🇫🇷 :
you deserve award bro😁😁😂😂
2025-08-04 10:10:57
4
To see more videos from user @dompinyo, please go to the Tikwm
homepage.