@bashir_elixirs: Ute wa ovulation ni alama ya uzazi yenye nguvu sana! Wakati wa ovulation, ute huwa mwepesi kama muci wa yai, unaovutika – hii ni ishara kuwa mwili uko tayari kupata mimba. Kuelewa ute huu husaidia: ✅ Kujua siku zako fertile (za kupata mimba) ✅ Kugundua changamoto za uzazi mapema ✅ Kufuatilia mzunguko wa hedhi kwa usahihi 👩⚕️ Afya ya ute = Afya ya mfumo wa uzazi! #AfyaYaUzazi #OvulationSigns #Kujitambua #WanawakeNaAfya #BashirElixirs #FertilityAwareness #mr_chiru1 #BashirElixirs
Bashir 🔬
Region: TZ
Monday 09 June 2025 09:15:26 GMT
Music
Download
Comments
Grace😍 :
nimeanza period taree 27 je ni mznguko wa sku ngap
2026-09-13 16:32:45
1
Ayubu kajuni :
nimeanza period trh 29 mwez huu je siku ya kubeba mimba ni trh ipi
2026-08-30 20:57:00
0
Angellah kali :
hi
2025-09-02 09:37:27
1
@MELVIN STORE 🎀 :
Kwan unaweza pata huo ute kweny siku ambazo ni za kawaida tu yaan ukiwa umebkiza siku 2 kuingia period?
2025-07-14 12:16:49
1
zuku baby :
mimi mwezi huu nimeupata kabisa lakini nimeingia period siku moja tu sijui nitakua na mimba au vipi
2025-08-25 12:16:40
1
Qwny g💞💕💓🫦 :
mimi napata mzito sana
2025-10-27 15:05:46
1
Ms...smile🩸💝😇 :
alhamdulilah
2025-07-09 20:47:48
2
princeses266F :
dr naomba unisaid hapa kwenye ute
2025-08-19 01:08:08
0
Official tunda :
Mimi sijawahi upata hata sik moja tang nivunje ungo na sijawah beba ujauzito na nataman san naomba nisaidie
2026-08-17 14:46:26
0
Pinah💞💕 :
niulize swali ko wenyew haujikati,na unakuwa unatok kwa mda ganii
2025-07-15 06:11:09
4
Momo :
Na unadumu kwa siku ngap dr
2025-06-27 14:35:58
1
Martha Ndakidemi :
mbona me sikuwahi kupata na mimba nilipata
2025-08-25 10:55:40
1
anitaserikali1 :
jaman Niko siku zahatali na naupat vizuri muniombee nipate namimba 😌🥰🙏🏾🙏🏾
2025-10-04 11:53:24
2
rahab :
mimi sina
2025-11-04 14:16:23
1
kuresoiii pau :
je kam wa njano
2025-09-05 19:47:01
1
justar mwende juma :
mm ata sina kapisa
2025-11-13 17:26:06
0
Janeth Oscra :
Mimi nimeupat sija pata peliod ila nikipima mimba Sina
2025-09-22 12:16:45
1
Prime Supplements Tz :
Kukosa ute ni Dalili moja wapo ya hormone imbalance
2025-11-06 15:36:41
0
zay zay :
😂
2025-09-21 11:12:48
1
mery :
😂
2025-09-25 17:42:57
1
kare'ndi'y :
🥰
2025-08-24 19:05:42
1
nyamacid :
😂
2025-10-14 18:47:05
0
Franco🙏 :
🥰
2025-11-30 04:02:20
0
baby-tee🦋 :
😍
2025-07-25 18:38:16
1
bave :
mbn n bablishi
2025-07-25 12:21:33
1
To see more videos from user @bashir_elixirs, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.