@pretty_h50: #buttercream#buttercreamrecipe#buttercreamcake #fondantcake #graduationcake #birthdaycake #morogorocakes #morogoro #graduation icing sugar box Moja ( 500gm) prestige gm 100-120 maji vijiko vitatu mpka vinne radha nusu mfuniko

Halima Cakes Morogoro
Halima Cakes Morogoro
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 June 2025 10:12:30 GMT
76174
1828
194
263

Music

Download

Comments

mayra_cakes
mayra_cakes :
Yani nimetumia hii recipe Yako nimepata matokeo mazuri sana barikiwa my dear
2025-09-01 11:19:11
12
8545reynancy
Reylast cakes @@** :
mbona yng icing sugar haikauk ntumia ya kupima😢😢😢
2025-06-12 05:48:16
3
azraah_315
Azraah Cakes Bekary :
Naomba kuuliza , utikifanya ivo itakuwa haina sukari sana ? maana iyo icing sugar inasukari na apo umekoroga tu bila ya mixer
2026-04-18 19:32:35
1
chichisweetcakes
Chichi sweet cakes🍰🎂 :
ili butter iwe whte we unafanyaje
2025-06-10 05:40:10
5
tiktok45892
TikTok🎵🦋 :
Cyo lazima kutumia kimbo au Till
2026-02-22 13:19:35
0
maryam.juma.mtali
maryam juma mtalimbo :
hilo beseni haliongezi uzito sibora ungeweka kamfuko kepesi 🥰
2025-06-22 17:07:50
1
laylath06
BiteMe🍪🎂🍩 :
ongeza na condensed milk hapo utanishkuru
2025-09-15 10:00:02
4
aminaksh6
user8611765836069 :
Samahani ungetuonesha na ukipamba keki dadaa na hiyo icing sugar box moja ni gram ngapi
2025-10-20 10:45:50
1
muzdalifat123
Ummu Uthaymeen :
hellow dear,vip kama sina hcho kifaa cha kupimia?
2025-12-06 11:16:13
0
_102gm
_102gm :
Jaman mizan yang kama hyo ukiweka kitu juu kinaanza kupima cheyewe
2026-04-29 05:53:06
0
lehan_0111
Lehan_Cake 🥰 :
Mm juz nkawa na odda c nkakosa mo pish nkakosa oda kumbe cio muhimu
2025-12-20 12:09:06
0
dj_lizzy1
lizzy01🤎 :
sasa na huo uzito wa Hilo beseni unajumlishwa na uzito wa prestige
2025-08-11 09:26:36
2
betty.johny
Betty john :
mbona mm nimetumia kama hii lakini haigandi jaman yaaan keki imekaa mpk asubuh lqkin wala hata haijaganda
2025-11-15 22:03:41
0
dijahkiwiku8
Mrs Rama Macake :
Asant kipenz nimejua kivingine zaid
2025-10-24 11:22:05
1
caketown_tz
Cake Town :
ukitumia mo mpishi lakini vipimo vikawa hivi hivi itakuwa sawa tu?
2025-09-13 18:34:20
1
prettyalhapsy
Pretty Alhapsy 💗 :
Nikitumia Tilly je naipiga kwanza na mashine au
2025-09-09 11:50:30
1
sabah_suley103
Sabah💞🌹suley :
je na Ile ya kutumia kimbo?
2025-09-04 15:14:51
0
siwemafungo
siwemafungo :
sory mnawekaga nin kwe cake mpaka inaumuka sana
2025-06-11 10:50:01
1
julieth.mkambaku
JULIETH MKAMBAKU :
naomba namba za sim da Halima
2025-08-30 09:02:49
0
117haloo
HALO :
butter nzr mashaallah....je ukitengenez nying kw matumizi ya badae na hv umeek maji haina shida??
2025-08-18 20:28:19
0
shufaaabdalla579
Shufaa tasy Cakes :
huyu ni mm kabisa buttercream kwene mwiko 🥰🥰🥰
2025-10-07 15:18:26
0
twigaa10
Maryam🍂 :
ivi naweza kuweka vanilla?
2025-09-10 12:18:31
0
fai.de.jammy
fai de jammy :
keki ni kuanzia shingapi
2025-06-12 15:33:37
1
lilian48wakota
lilianWakota :
ukitumia hand mixer butter inakuwa vzr zaidi pia inakuwa na wepesi mzuri na inavimba fresh inakuwa perfect sana sana.
2025-07-01 06:59:12
2
abdallahmzeru268
Dullah mzeru :
odoo, familia alafu sister anguu mimi...nice work
2025-06-13 05:40:04
1
To see more videos from user @pretty_h50, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About