@sampromomedia: Mwanamke aliyezua gumzo mtandaoni kwa kuongea na matawi ya mti na kumtii hivyo akahitimisha kwa kesema miti inasikia. Baada ya kuyasemesha majani ya mti Mara nyingi alisikika akisema ..” YOU CAN HERE ME? ..TOUCH MY HANDS ..” Na mwisho ikaonekana majani hayo yameifuata mikono yake, hivyo akahitimisha kwa kesema miti inasikia. Nini maoni yako kuhusu hili ⁉️ Sponsored @SIFMAX _BEAUTY_PARLOUR Endelea kutufuatilia kupata taarifa zaidi 🙏🏽 #sampromomedia #viralreels #update #reels #funny #fypシ #tiktok
Si punde utaona na wabongo nao wanaanza mbwembwe zao mitandaoni
2025-07-28 04:50:13
0
𝒻𝓇ℯ𝒹 𝒎𝒄 🇹🇿 :
ℕ𝕚𝕒𝕔𝕙𝕖 𝕟𝕒𝕔𝕙𝕒𝕟𝕘𝕒𝕟𝕪𝕚𝕜𝕚𝕨𝕒 𝕞𝕛𝕦𝕜𝕦𝕦 𝕨𝕒𝕟𝕘𝕦😆
2025-08-23 18:04:46
1
Frida Collection :
ndomana hata ukifanya tukio porini hakuna aliekuona ila utakamatwa tu sababu miti ilikuona miti inaongea inasikia ila uwe na imani ya kiroho
2025-06-28 09:38:42
1
shariffu salumu :
mmhuuu hatujapigwa kweeli hapa
2025-06-15 16:25:02
0
prissy 💖 :
akifanya mbongo mchawi
2025-07-25 12:26:13
0
felicity :
ni ukweli mtupu
2025-06-16 04:29:59
1
ZAXY_ZUNGU :
Poleni kwa wote mliochelewa kujua hilo normal sana👑😂
2025-06-24 13:31:42
1
Flavie🇹🇿🧿🪬 :
Matendo ya kiroho zaidi🥰🥰
2025-06-16 14:24:47
1
Winnie Mushi😘 :
Kesho niamke mapema niende kwenye mti wa Mabuyuuu
2025-06-19 22:25:21
1
Mary Mgonja :
kila kitu kinasikia kinataka amri yenye nguvu za ndani yaan nguvu za kiroho na kinatiii
2025-06-16 17:26:26
1
TOTOH🏐🌹 :
huo mparachichi wa jirani kesho hauna bahati😎
2025-07-24 16:44:32
0
Zawadi Smart Tanga :
Ni kweli miti inasikia, tulikua na mpapai hauzai , basi tukauchamba haikupita week ukaanza kutoa maua.
2025-09-12 16:43:41
0
.. :
kwishaa
2025-07-18 08:24:19
0
tesha :
haha et inasikia uwo si upepo
2025-08-09 11:36:11
0
sapna sadick :
kama mwanamke aliweza kukutan na nyoka nawakpga story wakazungmza kwanini ashindwe kuongea na miti😂😂 khaa kwani pindi wanasema mwanmke ni kiumbe cha ajabu nyie hamkuskia au mlizani ni ajabu gani inazungumziwa😂😂
2025-08-06 12:18:42
0
g3_laton3 :
Alaf mwambie uyo anaekuvutia matawi uko juu tutamlaluwa 😳
2025-07-31 12:42:06
0
EdwardDismas_ :
kesho mapema nikapige story na mchenza pale njee😒t
2025-07-29 08:15:28
0
aminakinyago :
asiejua maana usimpe maana 🤣🤣🤣
2025-06-16 13:30:25
0
To see more videos from user @sampromomedia, please go to the Tikwm
homepage.