@insideoutz__:  MKALI wa Bongo Fleva, @diamondplatnumz amewahi kuelezea kuhusu mahusiano yake na @jokatemwegelo Akizungumza kwa uhakika kabisa, Diamond anasema inampasa amuombe radhi Jokate kwa sababu katika uhusiano wao, Jokate hakuwahi kumkosea ila yeye ndiye alikuwa tatizo na chanzo cha wao kuachana. Diamond alisema hayo kwenye mahojiano na @zamaradimketema kupitia Clouds kipindi cha Take One… Leo Diamond yuko kwenye UK TOUR.. Ni kweli hapa Diamond alikamatika hivi hapa!? #tbt #diamondplatnumz #zamaradimketema #loveandrelationships #insideoutz

INSIDEOUT TANZANIA
INSIDEOUT TANZANIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 June 2025 16:23:38 GMT
244620
7236
100
171

Music

Download

Comments

kimz.events
freshflowers.tz :
MEN LOVE BITCHES ....THEY MANIPULATE INNOCENT WOMEN 💯
2025-06-12 03:15:50
87
user253363483639
user253363483639 :
what kind of questions media zimejaa habar Zawatu znatusaidia nn zakijinga jinga hakuna lamaana mow days
2025-06-17 04:24:45
5
user4281142517542
user4281142517542 :
tutakuweza wapi,umalaya umeanza zamani😄
2025-06-16 09:36:39
29
angels000129
Winnie :
Too innocent na alikubali kudate na boyfriend wa rafiki ake 😂😂😂,ndio ulikosea kumtongoza ye alishindwa kukataa
2025-06-11 21:23:04
74
nabystoreog
nabystoreog :
SIMBA NCHI KALA KWELI MEMA YA NCHI
2025-06-16 09:15:31
17
user2518013337474
salum said omar :
itakua karogwa kewl 🤣🤣🤣
2025-06-16 07:15:16
9
user7502734282698
irene michael :
mh kama kweli ninavosikiaga kwamba siku ya mwisho kama umelala na wengi zitakuganda Ganda mwilini bc mondi hadi tundu za pua hazitaonekana
2025-07-24 14:23:14
5
hey.chockie
hey.chockie :
Wanaume hawajuagi nini wanataka
2025-07-02 12:38:37
11
_qyler_
_QYLER_🌴💙 :
Jokeit 😁😁😁
2025-06-12 07:44:19
9
z_boutique.2024
V@faith BOUTIQUE :
tamaa tu
2025-07-20 23:05:53
2
beniemwanza
Benie :
uyu kaka jamani ni simba tu kweli alikula 🤣🤣🤣🤣
2025-06-13 08:04:29
10
user35579220011126
mwana :
ngoja vunja bei akusikie akushone
2025-06-12 13:24:00
8
arv23111
Arv23 :
Jokeiytiii
2025-07-09 14:14:56
3
user996100966562
user996100966562 :
mnamzalikisha huyo dada jmn kashakua kiongozi alafu mahusiano mtandaoni vipi
2025-06-18 12:45:40
5
dallydominickgmail.com
Dalmatius P.G.F :
Kama umesikia ALAFU THEN gonga like hapa
2025-07-14 00:49:02
4
neysuplement
Ney weight gain suplement :
kha mond kalamba weng duh
2025-06-21 18:39:21
3
user8107928701792
swaum rasuulih :
amrudie banaaa
2025-06-11 20:37:08
6
messiahfeatures
Messiah features :
wakati mwingine Diamond anakuwa na hekima na busara
2025-06-20 11:14:53
21
halimakimwery
halimakimwery :
kwan sasa hivi umekua
2025-06-12 17:11:17
3
khamiskalinde
khamisona :
follow me
2025-07-13 04:17:35
2
xxx596081
NO LOVE💔 , GO MAKE MONEY 💸 :
Umalaya tu unakuhangaisha
2025-06-16 03:47:04
2
user18243879424733
@@@@@@@ :
umalaya tuu nyoko ww
2025-07-25 08:41:24
2
leithserenge
LeithSerenge :
Diamond wa enzi hizo
2025-06-21 05:52:26
2
silonyor
SilonyoR :
Arudi huko wanafaana
2025-06-12 08:17:29
4
mrs.salumu0
mrs salumu :
ndo tabia zako
2025-06-12 13:39:05
3
To see more videos from user @insideoutz__, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About