@fifisugar: Mshukuru Mungu sana#tanzaniatiktok🇹🇿🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #viral #fyp

Fiona Nkya
Fiona Nkya
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 June 2025 08:43:58 GMT
160662
16650
771
816

Music

Download

Comments

raquelrandiallah
Rahel 🌸 :
Remember that "Free money comes with a lot of disrespect!"🙏
2025-06-12 10:15:08
375
safina.as_will
Fina🧚🏼‍♀️ :
Na kuna wanaume wanazani kukununulia stock ya chakula ndio kujali, Nilikutana na mtu ananiambia nitakunulia mchele,mafuta,sukari yani vitu vya ndani vyote,nikamwambia kwaheri I can afford that apeleke upuuzi wake, mtu anakua hana jipya eti chakula ndio vitu vya kufanya niwe nae, Fifi tena hilo swaa uliongelee sana,there are girls out there thinking small thing like that is what they deserve
2025-06-12 10:31:51
163
aminahmisanya
malusu :
you know how to dig things congratulations Fifi
2025-06-12 08:56:37
38
user5698519426861
sabby :
wanaleft mahusiano na kuanzisha mapya, eti feminist ni kupewa tu..hakuna mwanaume anataka mwanamke asie weza kuzalisha hela, kuna maisha yeye akifa
2025-06-12 09:17:41
83
manlikeaarons
Aaron :
nikiwa na binti naomba Mungu awe na mawazo na akili kama yako (kuhusu muonekano niachie mimi ntatafata mama mrembo) 🔥
2025-06-12 10:28:59
15
ms_witty11
Ms_witty🫶 :
I hope this get to help someone today🙌🙌🙌🙌
2025-06-12 09:40:08
11
nasra34977
Nasra :
Nahitaji hiko kitabu kwa njia ya soft copy my dear
2025-06-12 10:15:37
7
sadwry5
sadwry :
umeongea kutokea moyonii kabisaa 💯💯💯very fact for really
2025-06-12 10:11:20
11
fatyfam3
Somebody Favorite🔐😍 :
Ndio maana namuomba Mungu kila siku asije wahi ninyima hela ya kula Nakushukuru Mungu wangu 🙏
2025-06-12 09:51:17
17
missgrateful8
Miss grateful8♍ :
Hajalishi thamani ya kile unacho jihudumia nindongo kiasi gani kumbuka kupiga goti kushukuru na jipigie makofi🥰🥰🥰
2025-06-12 09:47:13
8
user2269197062503
user2269197062503 :
nahitaji hicho kitabu pls
2025-06-12 09:22:24
5
abbyhoz
AbbyHoza🧿 :
Hakika, asante Mungu wangu🙏❤️
2025-06-12 09:25:01
4
angeljulius44
missangel :
asanteeee kipenz kwa kutukumbusha🙏🙏
2025-06-12 09:25:58
4
user6280435978876
Marycious❤ :
kila siku namshukuru mungu🙏🏾 nakupenda sana Sis❤
2025-06-12 09:43:49
7
kipendacho_rohoo
KIPENDACHO_ROHOO :
Acheni tu.. Ukweli ni mngumu kuuwamini Ila ukiamua kuacha mambo ya kufata makundi kwa mfano watu wengi uwamini kwamba kuwa na Mabwana au Bwana kila kitu umemaliza..... Na sivyo niutumwa unao umiza👌💕🤝🤝🌼
2025-06-12 09:39:35
6
safio_collections
safio collections :
Amen
2025-06-12 09:21:39
2
dianamlingi33
diana :
Amina🙏
2025-06-12 09:27:00
2
user5698519426861
sabby :
waamibie , kwa kweli kuna watu influences wanadanganya mabinti, eti kufanya kazi ni u ..masculine 😂 , wanadanga wanatumuka daily, wakiomba wakinyimwa
2025-06-12 09:15:55
10
phina19veterinarian
phina@psalms124 :
MUNGU ninakushukuru sana 🙏
2025-06-12 08:49:04
5
user71063381120160
user71063381120160 :
Amen 🙏
2025-06-12 08:52:21
2
avyraglow25
Avyraglow🍃 :
Foo shuwa dada🥰🙏
2025-06-12 10:03:32
3
user59471900313655
Iness :
Asante sana Mungu kwakinipa uwezo wa kujihudumia mimi na watoto wangu nakushukuru Mungu
2025-06-12 10:27:00
3
mamiville_mamyluv
mamiville :
Asante Mungu 🤲
2025-06-12 09:29:14
3
b_e_ll_a25
Bella❣️ :
Amin🙏
2025-06-12 09:22:27
3
To see more videos from user @fifisugar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About