Hapo hapo kwenye wali, nna jambo akilini Tena nauliza suali, unijibu Sulemani Maana linanikatili, na jibu langu nipeni. Kati ya Wali na Mchuzi kipi kinapikwa mwanzo?
2025-06-12 11:51:32
11
Certified Madman👽 :
huyo ni jirani yangu, inakuaga ivo akiona chakula🤣
2025-06-14 15:14:44
7
salma :
mchele uwoo
2025-06-13 13:55:50
3
Mbapemba :
mate hayo hayaingii kwenye pilau
2025-06-13 07:24:35
3
raytina217 :
Macha Allah
2025-06-16 20:21:38
2
🇮🇳🇮🇳🇮🇳 :
marhaba zanzibar 😅
2025-08-07 15:38:27
2
ame.matelephone :
😂😂😂
2025-06-12 14:16:08
1
Al_mushnii :
wow!I love the poem
2025-06-15 11:41:50
1
Altamim :
Wali usio na nyama sio wali wa mchaaa,😁😁😁😁 nyama zote wamekula wapishi wali huo ni mkavuuu😅😅Hatwebu wali bila nyamaaaa😂😂😂