@iroc.tv: Unakubaliana na @waizer_esya 😅 OUT NOW! Bonyeza link kwenye Bio kuangalia kipindi youtube iRoc Networks 📺 @waizer_esya , @kipotoshi & @charles_matukio Cc @iroc.tv @nmbtanzania Sponsored by @johnniewalkerafrica 📍 @irental_s #BeMore #Thejunction#NmbKaribuYako#JohnnieWalkerTZ #Ad #keepwalking#tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #rwandatiktok🇷🇼🇷🇼
ukiwa zwazwaa tu mbona mwanaume atakupenda 😂😂😂, ukijitambua tu anakuogopa
2025-06-12 13:51:23
1089
magenjau1 :
Nimekuwa nikisema kila siku 😂wanaume wanapenda wanawake wajingaa😂😂
2025-06-12 14:40:02
466
✨soso🤍🧿✨ :
mbona wanaume wengi kwene comment mmekasirika 😂😂 wanawake tukitambue jaman
2025-06-12 13:25:58
168
001 :
Huyu ni kipengele kwa ufupi anashauri wanawake wawe wajuaji
2025-06-12 11:45:53
115
Amourmelodies_beats :
Mwanamke Kujitambua Ni Pamoja Na Kujua Nafasi Yako kama Mwanamke
2025-06-13 06:14:16
231
khadija :
Yale maisha yakutupeleka mputa manyanyaso ni zama za kale Sasa ivi tueshimiane tu ila so utumwa
2025-06-13 17:00:04
10
Jeness :
Wanaume ni watawala na wanahofu wakiona mwanamke Ana the same move anaona kama throne yake inawindwa (weak men) … real men hawahofii utafanya mwenyew lakin he will support you coz anajua he is the king 😊
2025-06-13 07:09:48
49
Baba_foss :
Sio kweli. Mwanamke akiwa na pesa huwa anajikuta Mungu mtu
2025-06-12 17:21:58
9
+255 :
Kama umalaya ndio kujitambua acha tuendelee kuwapenda wasiojitambua.
2025-06-12 21:31:39
10
Be smart always :
nilijalibu kujitambua 😂😂😂 nilipigiwa Mimi jamani😂😂😂nikaona ili nienjoy maisha niwe zwazwa😂😂😂
2025-06-12 17:03:59
12
@saimon :
mwanamke ni msaidizi wa mwanaume ww hayo malengo umetoa wap
2025-06-12 17:25:06
10
Chloe :
fact,ukijitambua tu unaonekana huna heshima,Mwanaume atakwambia uache kazi yako ukae nyumban ulee watoto,ukikataa utaambiwa huna heshima,sasa si uzwazwa huo
2025-06-12 16:17:40
14
Choclyn :
In short wanawake wasio na malengo ndo wanapendwa zaidi ukiwa na malengo na ukijua nini unataka kwenye maisha yako huyu hawezi kukubali mtu yoyote amtoe kwenye reli ndo waanza kusema demu anajifanya mjuaji sana 🤣🤣🤣🤣🤣 hiyo ni fact
2025-06-12 15:31:45
51
dsimba :
familia inatakiwa kuwa na lengo moja kubwa, kuwa na malengo yako madogo lakin yakielekezwa kwenye lengo moja kubwa, tatizo linakuja mwanamke malengo yake mara nyingi huwa yanakuwa binafsi. Two visions = Division, jiulize Division ni nn
2025-06-12 14:06:02
9
tinah_collection💃👗 :
Hii ni kwel na ukiwa na mwanaume ukianza mafanikio tu shida inaanza yaan mtu hataki ufanye malengo Yako mhh😏
umepiga kwenye mshono wanaume baadhi hawataki ujifaham ww unataka nn😂tena ukitaka usitongozwe hovyo kuwa mpambanaji anajifaham unataka nn wanakuogopa
2025-06-12 13:01:18
23
@nurumatano0 :
wanapenda madame wajinga😂😂😂😂😂😂
2025-06-12 21:12:56
75
ms_mgy :
Anakitu asikilizwe🤌,but wanaume ukiwaambia kuhusu kujitambua kwa mwanamke , wao wanachojua nikutokitembeza tu, hawafikirii kuhusu malengo ya huyo mwanamke
2025-06-12 12:49:17
136
BabayaPapupa :
wanaume wanapenda Mwanamke bwegebwege alipelekeshe alichit lile la kila kitu linaitikia Tu..Sikuiz wamebaki 20% wako karibu kuisha🤣
2025-06-12 14:18:31
40
mitch :
hata ivo hawa wanawake wangesikiliza mama mama zao ambao wanatunza ndoa huu ujinga wa mwanamke independent usingekuepo
2025-06-12 12:36:53
6
NYANDA ELECTRONICS :
Kwani huyu dada sanamu lake amekubali tumuwekee wapi🤭
2025-06-13 12:31:17
14
To see more videos from user @iroc.tv, please go to the Tikwm
homepage.