@natureferlitilityclinic: ❗️Maumivu au kuchoma baada ya kukojoa? Usiyachukulie kawaida! Inaweza kuwa ishara ya maambukizi kwenye njia ya mkojo (UTI) au uke kuwa na shida kama yeast infection. 🧬 Usafi wa uke na kunywa maji ya kutosha ni muhimu sana. 💧Epuka kujikausha kwa nguvu baada ya kukojoa – tumia kitambaa chepesi au loweka taratibu. 👉 Kama dalili zinaendelea zaidi ya siku 2, tafuta ushauri wa daktari.#AfyaYaMwanamke #MaambukiziYaUke #UTI #UsafiWaKike #Maotea #KukojoaKwaMaumivu #AfyaYaSehemuZaSiri