@guthealthyclinic123: “Dalili hizi 3 ukizipuuza ukiwa na acid reflux – unaweza kuamka siku moja ukiambiwa una saratani ya koo… Moja: Koo kuungua kila siku hasa asubuhi, hata kabla hujala chochote. Mbili: Kukohoa au sauti kubadilika mara kwa mara bila mafua wala sababu ya msingi. Tatu: Kuhisi kama kuna kitu kimekwama kooni — hasa wakati wa kumeza chakula au hata mate. Hizi ni dalili za hali hatari iitwayo Barrett's Esophagus — hatua ya mwanzo ya saratani ya koo. Usipuuze acid reflux — inaweza kukupeleka ICU bila onyo. Tuma neno “KOO” sasa hivi kwenye WhatsApp NAMBA BIO – upate ushauri wa kitaalamu na tiba salama kabla hujachelewa.”#usa🇺🇸 #usa🇺🇸 #acidrefrux #acidrefrux #usa🇺🇸 #kenya #uganda #congo #
what should i do to avoid saratani ya koo juu ata mm napitia ii hali
2025-06-13 10:19:17
3
MDM... LEYLA :
am feeling if something stuck on my throat
2025-06-16 11:24:31
0
agnesabinery :
nina dalili zote izo!! nisaaidie dawa
2025-06-13 13:20:19
1
agness__Felix :
Me Mafua jamani🥺 kuhisi kuchanganyikiwa na kifuani. Kama kuna maumivu
2025-06-22 08:12:03
0
kijim :
sh ngapi dawa
2025-07-18 14:21:28
1
Orembo :
Niko na Hilo tatizo, nikama kuna kitu imekwama kooni na pua langue moja Kwa ndani limevimba na si uchungu
2025-06-16 21:20:20
1
mwangimaina410 :
suluhisho ni gani
2025-06-15 00:41:23
3
Paris Tigress🐅🦅🦂 :
Mimi tatizo langu kwenye koo kuna kitu hiwa kama kinapalia unaishia kukohoa sana .mpaka utakapo kunywa maji ndio hutulia dawa ni ipi
2025-06-23 09:12:33
0
betty :
kooo
2025-06-17 05:59:36
0
Devie :
kituo chenu cha afya kiko wapy doctor
2025-06-16 07:29:54
0
mariam akyoo :
Mafua nahyo aliyakuchanganyikiwa nakuna muda nikitaka kumize nashutuka nashindwa kumeza
2025-06-16 15:33:38
1
Hassan Pacha :
mnapatikana wapi nashida hiyo
2025-06-17 14:49:22
0
James Guitar 🎸 :
Nataka kuuliza Docta acid reflux inaweza fanya ulimi kuwa mweupe??
2025-06-13 19:23:50
1
bruga :
mimi nikokohozi napata hasa wakati wa uck..na too kuwasha sna . pia inaweza kuwa acid reflux?
2025-06-16 10:14:01
0
Trumphafrican Mustgo :
natamani kumeza kitu kimenikwama pumzi inakata usiku silali kabisa ,nimeambiwa hospital nina acid reflox ☺️☺️☺️
2025-08-10 21:44:14
1
sweetie vanilah 👄👄 :
Saratani zikomee
2025-06-26 17:46:41
2
betty :
rafiki yangu anayo
2025-06-17 05:24:26
0
abiga makumete :
mimi nasikia pumuzi unakata,nikibiola mate iko makali saaana mushipa ya shingo inatuma kifuwa mgongo Na ndani kichwa nasikia moto nisaidieni wandugu nasumbuliwa Na iyi acid
2025-06-16 10:04:32
0
Jolia Pantaleo :
jamani mtuonyeshe vyeti madaktari feki mpo sana mtandaoni
2025-06-14 19:27:55
2
Tetio♥️🌹 :
hello
2025-06-14 14:41:16
0
happy :
nashtuka saana usiku
2026-01-29 14:48:22
1
SUPERTCHA JOHN💕💕 :
haya nayapotia nitasaidika vip?
2025-06-14 11:13:22
0
Man power solution :
dawa zipo pics simu
2025-09-09 11:30:23
1
elisa :
batibabu yake
2026-07-24 10:45:31
0
To see more videos from user @guthealthyclinic123, please go to the Tikwm
homepage.